Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Kada ya Afya ina Scale zake tofauti na uliyoitaja...Wana Scale zinaitwa "TGHS......"
Nafahamu watu wa afya wana scales tofauti, ndiyo na nikasema mishahara yao pia ni tofauti na hawa watumishi wengine kama walimu, HROs na kada zenye kufanana na hizo ambao scales zao ni TGS
 
Weo au accountant wa wap anamzidi?
 
Mbona hela inatosha sana hiyo,wewe tu mtazamo wako mkuu
 
Mkuu
Halafu unategemea utaendesha gari siku 1?
Mkuu,Kuna kada za afya nao wafahamu Wana Manisha ya kawaida Sana,pia kuna walimu wanamiliki maghrofa mjini ndugu yangu,Manisha mazuri ya mtumishi WA kawaida hayatokani na kiasi cha mshahara,Bali mipango e.g investment n.k
 
Hujaweka makato ya HESLB
 
Walimu wanachukuliwa kama mfano tu ila kazi nyingi serikalini ndio mishahara yake ina range humo

Kiujumla ajira nyingi ni mateso, heshima ya kufanya kazi ofisini tu lakini hakuna personal development bila kujiongeza
 
Duh kwahio ili kufika F1 lazma upige kazi 16 years 😅 kama ulianza kazi na miaka 30 basi utafikia hapo ukiwa 46?
Unaweza fikisha hata 50+ Kwa namna ya upandishaji ulivyo bila yaan mtu akaaa ht miaka kadhaa hajapanda daraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…