Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Unakuta wenzako wanasubiri mishahara wewe wala hauwazi kabisa!!kwa siku unaingiza faida ya 80000/= hadi 100000/= tena unawashangaa wanavohaha!!!
Biashara yenye faida ya laki 1 kwa mwezi ni milioni 3,.....mtaji wake si chini ya milioni 30, hongereni sana wapambanaji
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119]unapambana na sumu.
Mkuu kazi yako ya kufundisha ni blessing...kuna kazi mbovu tena zinahatarisha afya na mishahara haieleweki tena humu humu serikalini.
Ugumu wa maisha ndo unaona kila kazi ya serikali ni mbaya. We unalipwa 330, 000 na kielimu chako cha Certificate unaona mshahara mdogo?
Kazi nyingine unayo ya kukulipa huo mshahara, tulia na kuwa mvumilivu hadi upate suluhisho lako la mshahara
 
Kwanza edit hapo, mimi sio Mwalimu.
Mimi kiwango changu cha elimu ni Master degree.
Huo mshahara sijawahi kupokea, mshahara wa kwanza ulikuwa TGS D baada ya hapo nikachomoka kwenda shirika la umma nakula pesa ndefu.
 
Ualimu ni kazi sana,kikipato sio poa,unavyoongea na kugeneralize mambo ya walimu sio sawa. Usigeneralize walimu wapo taNzania nzima, kunasehemu ndani vijijini ambako hata wewe huwezi ishi na hakuna fursa.
Kwahiyo ilitakiwa iweje kama hakuna fursa ??
 
Jambo la Msingi ni kuacha kazi ili uineshe huo u-genius wa kuzalisha kipato kikubwa kuliko hicho unacholipwa.
 
Kwanza edit hapo, mimi sio Mwalimu.
Mimi kiwango changu cha elimu ni Master degree.
Huo mshahara sijawahi kupokea, mshahara wa kwanza ulikuwa TGS D baada ya hapo nikachomoka kwenda shirika la umma nakula pesa ndefu.
Master Degree unatakiwa kutengeneza kazi na siyo kujisifia umekimbilia shirika la umma.
 
Tanzania Ni Tajiri
Tuchape Kazi Ndugu Zangu
Bwana Bure Hayupo
Tembeeni Kifua Mbele
Ila jamani mzee nilimpenda sana sbb yakutuaminisha ..na kweli tulijiamini na pia tumeweza kuhoji
 
mbona askar hawalalamiki
 
Ila jamani mzee nilimpenda sana sbb yakutuaminisha ..na kweli tulijiamini na pia tumeweza kuhoji
Dini Inasema Imani Inahamisha Mlima
Mzilankende Alikuwa Wa Aina Yake New Seen Before
Apumzike Kwa Amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…