Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Duh kwahio ili kufika F1 lazma upige kazi 16 years 😅 kama ulianza kazi na miaka 30 basi utafikia hapo ukiwa 46?
Inawezekana ikawa miaka michache kwa Mwalimu anayeanza kazi Elimu ya Shahada ambaye anaanza na D1. Baada ya utumishi wa miaka mi4 atapanda hadi F1 na miaka mingine 4 hadi mi5 anafika hiyo F1. Hivyo kwa wengine sio mpaka atumikie miaka 16 ndio afike F1
 
Miaka ya nyuma nilienda kufanya researchyangu/ data collection (nilikuwa chuo) kijiji kimoja kinaitwa Kibata huko Kilwa, Lindi. Nikafikia kwa Mwl mkuu na kupiga kahema kangu hapo. Kwa muda wa mwezi mmoja niliokaa hapo ndipo nilipoona mazingira magumu ya kazi ya ualimu. Kilichonistaajabisha ni jinsi wale walimu,hasa Mwl mkuu, walivyokuwa wanajituma kwenye kazi yao pamoja na ugumu wa mazingira. Yule Mwl Mkuu alikuwa anaaminika hapo kijijini utadhani ni DC, pale kwake kipindi hicho ndio ilikuwa TV ya kijiji, ana banda lake genereta na watu wanaangalia news na mipira. Nimepanga nitarudi one day to that Village daah...
 
Sahihi kuna mmoja tuko naye mkoani, ameanza kazi na Diploma ndani ya miaka 4 amejenga nyumba yake nzuri tuu...Kuna mwingine nilikutana naye Mvomero kwenye kununua mazao (mpunga) alianza na mtaji wa milioni 5 (alichukua mkopo) aisee juzi nimemkuta (after 7 years kupotezana) yuko mbali kwelikweli kibiashara .
 
Kazi zenye posho nyingi nafasi zake ni Chache.sisi watoto wa maskini tunaangukia huku.Mnaovimba hapa mlipata connection na bahati.
Wote tukitaka kazi zenye posho nani atafundisha sasa?
 
Hiyo ni sio F1 mkuu
F1 ni 1,270,000/= kwa mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…