Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Hapo mwalimu anazidiwa kidogo na kada za Afya na Engineering.

Lakini taaluma nyingine zote kama Acccountancy, sociology, Mchumi, Maafisa Maendeleo, Kilimo, HR, Afisa Utumishi, WEO/VEO, sheria wote kwa walimu wanasubiri.

Mishahara ya walimu siyo midogo.

Walimu wanachojua ni kujiliza liza kama mbweha tu.
Hata aliyekufundisha silabi A, leo unamwita "mbweha" kweeli!!! Utakuwa miongoni mwa wale mashaidi wa kesi ya ugaid
 
Kazi ya ya walimu usipoangalia unaweza kuishia kuwa bachaela wa kudumu.

Kama una familia ili muweze kumudu maisha lazima mwenzi naye awe kipato kizuri
 
Huwa mnaongeaga tu kutoka midomoni kwamba Walimu wanapaswa kuongezewa mishahara yao, lakini hayo maneno hayatoki moyoni
 
Ongezea anafanya kazi na walikosa matumaini(wagonjwa)wanaopambania maisha yao wamejaa huzuni (note) huzuni inaambukizwa kweli idara afya walitakiwa waongezewe maslahi.
 
Ndugu usilinganoshe hao wachumi, sociologist na walimu.
Walimu wanasubiri kusahihisha mitihani na semina kwa mwaka labda mara 2
Huyo mchumi akienda trainning, kazi za nje ya ofisi kwa mwezi tu anapata perdm mara 5 ya mshahara
Nani kakwambia wanaenda training!!! Wanaenda training wapi!?? Kila mwezi!!!! Hakuna kitu kama hicho mjomba !!! Mishahara ya serikali wote wenye elimu sawa ni the same
Mwalimu,mchumi,mhasibu,HR,maendeleo ya jamii kama ni level ya elimu sawa basi wote wanaanzia same scale !!!!! Upoooooooo!??? Aliyekwambia tofauti kakudanganya
 
Hahahahah...unaongea kuhusu reality???? Unajua mwalimu aliyeanza 2005 ana scale gani?

Uliza uambiwe, lkn nakushangaa pia...Mto mada kaeleza vizuri, shida nini unashindwa kuangalia alichosema,??

Eti 1600000!??!
Mwalim aliyeanza kazi 2005 yupo TGTS G ambayo ni 1600,000 gross unabisha nn!??? Tena huyo ni mwenye diploma!!! Je wabisha!!!
 
Hahahahah...unaongea kuhusu reality???? Unajua mwalimu aliyeanza 2005 ana scale gani?

Uliza uambiwe, lkn nakushangaa pia...Mto mada kaeleza vizuri, shida nini unashindwa kuangalia alichosema,??

Eti 1600000!??!
Hivi nyie watu MNA akli!?? Mtoa mada ametoa scale was walimu tuuu!!! Hajatoa za kada nyingine!!!! Kwa taarifa yako za walimu zipo juu kuliko kada nyingine!!mwambie atoe za wahasibu
Wachumi,maafisa utumishi ,maprocurement uone,!!!!
Hali ilivyo!!!! Tatizo mnakurupuka mamjui kitu!!!!
Pili !!! Hiyo mishahara inapanda sio kwamba IPO hiyo forever!!! Nimekupa mfano mwalimu aliye na diploma akiyeajiriwa 2005 leo 2021 yupo TGTS G ( yaan katoka TGTS C mpaka G ) na TGTS G ni 1600,000/ hutaki !!!
Kiukweli huo ni mishahara mrefu sijufichi nenda kwa mhindi uone kama utaupata!!!! Kampun binafsi inakulipa hiyo pesa!!! Nenda hoteli yoyote hapa Tanzania kama itakulipa hiyo pesa!!!
Asikwambie MTU watu wanautafuta ualimu was serikali kwa damu !!! Amini najwambia kuna uhakika kuliko unavyodhani!!!
 
Ndugu usilinganoshe hao wachumi, sociologist na walimu.
Walimu wanasubiri kusahihisha mitihani na semina kwa mwaka labda mara 2
Huyo mchumi akienda trainning, kazi za nje ya ofisi kwa mwezi tu anapata perdm mara 5 ya mshahara
Nyie mmekariri maisha njooni huku duniani muone!!! Eti mchumi wanaenda training!!! Yani ni!!! Nani kakudanganya!?? Hiyo training ya kila mwezi!! Pole sana
 
Ndugu usilinganoshe hao wachumi, sociologist na walimu.
Walimu wanasubiri kusahihisha mitihani na semina kwa mwaka labda mara 2
Huyo mchumi akienda trainning, kazi za nje ya ofisi kwa mwezi tu anapata perdm mara 5 ya mshahara
Dogo mimi ni mwalimu was diploma kisha nikapiga uchumi nipo Halmashauri !!! Acha kuota hali sio
 
Hahahahah...unaongea kuhusu reality???? Unajua mwalimu aliyeanza 2005 ana scale gani?

Uliza uambiwe, lkn nakushangaa pia...Mto mada kaeleza vizuri, shida nini unashindwa kuangalia alichosema,??

Eti 1600000!??!
Sio niulize mm nilikua na dip ya education kisha nika soma BA econ na nipo halmashauri sikurupuki kama unavyodhani
 
Back
Top Bottom