Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
- Thread starter
- #21
Umesema kweli, maji kwa pwani siyo kero. Kuna mradi mkubwa wa umeme pia.Mie sio mwenyeji sana na mkoa wa pwani ila kibaha ilichelewa kuendelea kwa hiyo suala la maji sio tatizo maana hapo ndio yanapopita maji ya kwenda ktk ya jiji nashukuru toka nimekuja ukanda wa pwani baadhi ya vitu naona rahisi tofauti na kwetu kaskazini.tena nikikumbuka viwanja vya pale bulka kisongo sina hamu ila pwani morogoro tanga nikipata chance na vuta eneo tu