Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
- Thread starter
-
- #21
Umesema kweli, maji kwa pwani siyo kero. Kuna mradi mkubwa wa umeme pia.Mie sio mwenyeji sana na mkoa wa pwani ila kibaha ilichelewa kuendelea kwa hiyo suala la maji sio tatizo maana hapo ndio yanapopita maji ya kwenda ktk ya jiji nashukuru toka nimekuja ukanda wa pwani baadhi ya vitu naona rahisi tofauti na kwetu kaskazini.tena nikikumbuka viwanja vya pale bulka kisongo sina hamu ila pwani morogoro tanga nikipata chance na vuta eneo tu
Dah nimekusoma chalii angu vip mlandizi au visiga amna maaeneo maana kuna kamladi kakufuga nataka niweke ktk mazingira hayoRiba hamna hata shilingi. Unaweza lipa kila mwezi milioni moja ,kwa miezi 6, Deni kwisha unaanza mkataba wa kujengewa kwa awamu
Kwa sasa hatuna maeneo hayoDah nimekusoma chalii angu vip mlandizi au visiga amna maaeneo maana kuna kamladi kakufuga nataka niweke ktk mazingira hayo
Mbona mnapandisha sana bei kwa maeneo ya ajabu ajabu. Kigamboni hapo bei ya mita ya mraba ni elfu nane halafu Kibaha tena Pangani huko mnataka kutuuzia kwa elfu kumi na mbili.
Subirini labda miaka 10 ijayo ndio patakuwa pameendelea labda kuuza hata elfu 8 sio kipindi hiki. Nimepita juzi tu kule kwenye ile njia ya kutokea Baobab hamna kitu kule. Samahani lakini
Mikumi Morogoro ama unamaanisha kwengineko?
Maeneo gani kwa mkoa wa pwani mna maeneo ya bei poa ukiondoa hapo kibaha mjini mkuuKwa sasa hatuna maeneo hayo
Nje ya Kibaha Mjini, tuna viwanja Mkuranga jirani na Shungubweni beach. Kuanzia tzs 2,600,000/- kwa mita 20 kwa 20Maeneo gani kwa mkoa wa pwani mna maeneo ya bei poa ukiondoa hapo kibaha mjini mkuu
Magomeni mikumiMikumi Morogoro ama unamaanisha kwengineko?
Ndiyo iko wapi hiyo mkuu?Magomeni Mikumi
Ndoa wapi huko ni sipajui mkuu?Magomeni mikumi
Ndiyo iko wapi hiyo mkuu?
Daslamu mkuuDumila
VIP mkuu Bei mmeshusha kidogo nije au ileile ?Habari za jumatatu. Nashukuru mlokuja wikiend kutazama viwanja na kubook. Muda wowote unaweza kuja viona. Chukulia 2 to 3 years baadaye ,uko prime area. Wahi leo
Viwanja vinakaribia mwisho. bei bado 10,000 kwa mita mraba,ila muda wa malipo tumeongeza hadi miezi 9VIP mkuu Bei mmeshusha kidogo nije au ileile ?
Dah nimekusoma chalii angu vip mlandizi au visiga amna maaeneo maana kuna kamladi kakufuga nataka niweke ktk mazingira hayo