Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Vipo wewe njoo uoneArusha huwa kuna vuwanja vya 10 kwa 10, shkamoo chuga
Hayo ndiyo maajabu ya arusha, sasa 10 kwa 10 unajenga nn hapo?Vipo wewe njoo uone
Sasa hapo sijui tukuulize wewe uliyetaka hicho kiwanja maana sisi tunamsikiliza mteja sio tunamlazimosha anunue . Maana ukija ofisini unaulizwa unataka kiwanja cha ukubwa gani 12 kwa 10 au 10 kwa 10. Tunakushauri uchukue cha 20 kwa 15 na ulipie kwa awamu kama hauna cash . Ila kama unayo unalipa cash . So kama hutaki ushauri ndio unauziwaHayo ndiyo maajabu ya arusha, sasa 10 kwa 10 unajenga nn hapo?
ThanksSasa hapo sijui tukuulize wewe uliyetaka hicho kiwanja maana sisi tunamsikiliza mteja sio tunamlazimosha anunue . Maana ukija ofisini unaulizwa unataka kiwanja cha ukubwa gani 12 kwa 10 au 10 kwa 10. Tunakushauri uchukue cha 20 kwa 15 na ulipie kwa awamu kama hauna cash . Ila kama unayo unalipa cash . So kama hutaki ushauri ndio unauziwa
Labda maji ya chai lakini nyuma ya nlima meru na maeneo ya ngurudoto sijui kama utapata?Maeneo ya kupanda ARUSHA National park karibu na Ngurudoto lodge, vinapatikana?
Kweli atapata ngurdoto ila kwa ml 27 mpaka 35 ila kiwanja anaweza pata kwa ml 6 kikubwa tu kizuri. Maji ya chai kwa chini anaweza pata kiwanja kizuri kinakaribia nusu heka .Labda maji ya chai lakini nyuma ya nlima meru na maeneo ya ngurudoto sijui kama utapata?
Unaweza pata viwanj vikubwa tu kwa karibia nusu heka.Maeneo ya kupanda ARUSHA National park karibu na Ngurudoto lodge, vinapatikana?
Mwenzio kashangaa hajataka!! Dalali upo desperate sana aisee 😃Sasa hapo sijui tukuulize wewe uliyetaka hicho kiwanja maana sisi tunamsikiliza mteja sio tunamlazimosha anunue . Maana ukija ofisini unaulizwa unataka kiwanja cha ukubwa gani 12 kwa 10 au 10 kwa 10. Tunakushauri uchukue cha 20 kwa 15 na ulipie kwa awamu kama hauna cash . Ila kama unayo unalipa cash . So kama hutaki ushauri ndio unauziwa
Mimi nipo okay kabisa walA sina mbamba ila usimjaribu mtu na kazi yake.Mwenzio kashangaa hajataka!! Dalali upo desperate sana aisee 😃
Umejaribiwa nn sasa... hivi 10*10 huo uwanja unajenga nnMimi nipo okay kabisa walA sina mbamba ila usimjaribu mtu na kazi yake.
Mnahasira shida nini,?? Kwani mie ndio nimeleta hii mada ya kumi kwa kumi mbona mnaroho za shida hamtaki mtu apate raha jf ni nyie tu .Umejaribiwa nn sasa... hivi 10*10 huo uwanja unajenga nn
Dada punguza hasira huyo mtu hajaja kukuuliza kama una kiwanja cha 10*10 bali ameshangaa tu Arusha kubaki na utaratibu wa 10*10 mbona umeenda mbali sana? Stress zinaua dada.Mnahasira shida nini,?? Kwani mie ndio nimeleta hii mada ya kumi kwa kumi mbona mnaroho za shida hamtaki mtu apate raha jf ni nyie tu .
Mtu kaja una kiwanja cha 10 kwa 10 nikamjibu ndio .sasa shida yangu nimie au niyeye acheni kuleta nuksi na shida kwenye biashara za watu kama hutaki kununua acha kujaribu watu kama nyie mnahela na hamtaki kuniungisha madalali ni wengi. Nunueni kwingine sio mnajikusanya na vigroup vyenu kuwangia,wengine wasiuze. Umetaka kiasi hicho umeuliza umejibiwa .inanihusu nimimi
Nyie ndio mnatafuta watu mmeona kuna mtu katangaza hivyoo stress nyie ndio mnazo sio mimi maana mnakereka nikipata watejsDada punguza hasira huyo mtu hajaja kukuuliza kama una kiwanja cha 10*10 bali ameshangaa tu Arusha kubaki na utaratibu wa 10*10 mbona umeenda mbali sana? Stress zinaua dada.
Dada una stress na desperations za kufa mtu. Nani akuonee wivu anonymous aisee?Nyie ndio mnatafuta watu mmeona kuna mtu katangaza hivyoo stress nyie ndio mnazo sio mimi maana mnakereka nikipata watejs
Nyie ni watu msionitakia mnajitakia sema id mnazo nyingi nyingi. Hamuishi kuzima watu. Ili wakate tamaa ya kufanya atakalo .Dada una stress na desperations za kufa mtu. Nani akuonee wivu anonymous aisee?
Una stress mno, dalali unawaza uchawi? Punguza desperations utakufa mapemaNyie ni watu msionitakia mnajitakia sema id mnazo nyingi nyingi. Hamuishi kuzima watu. Ili wakate tamaa ya kufanya atakalo .
Nyie ndio mnaharibu miji.....Unapopima kiwanja 10× 10 huo si uchafu......? Huduma za kijamii unazipataje??? Miundp mbinu ya Barbara???Nyie ndio mnatafuta watu mmeona kuna mtu katangaza hivyoo stress nyie ndio mnazo sio mimi maana mnakereka nikipata watejs