Viwanja tisa (9) vya michezo ndani ya miezi mitatu ijayo, Rais Uhuru usiwe unatuzuga mzeiya

Viwanja tisa (9) vya michezo ndani ya miezi mitatu ijayo, Rais Uhuru usiwe unatuzuga mzeiya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nilitaka niwe na mashaka na hizi habari, ila nikiwaza kwamba rais yupo kwenye muhula wa mwisho wa awamu yake, maana kwamba hana sababu za kutuhadaa, amesema tayari pesa zimeshatolewa kwamba tutegemee viwanja tisa kukarabatiwa, tuko papa hapa wapambe wa rais kama mnapita humu tunavisubiri kwa hamu na tutafurahi sana vikitimizwa.

Haya ruksa mapovu ya kamati ya roho chafu kutoka kusini mwa mpaka wetu, tiririkeni.

a

President Uhuru Kenyatta and First Lady Margaret Kenyatta at Nyayo National Stadium in Nairobi County for the 5th Edition of the Beyond Zero Half Marathon 2020 on March 8, 2020
PSCU

President Uhuru Kenyatta has issued Sports CS Amina Mohamed a deadline of three months to complete the construction of nine stadiums in Kenya.

The President issued the directive while reopening the refurbished Nyayo Stadium in Nairobi on Saturday, September 26.

Kenyatta indicated that the upgrade of the stadiums had already been funded and expected them to be ready for reopening by the end of December 2020.

"The upgrade of Nyayo Stadium is not an isolated case. Our endeavour is to ensure our sporting facilities compete with others in the world. In that regard, we are in the process of developing other stadiums across the country.

A panoramic view of the Nyayo National Stadium as of May 25, 2020

A panoramic view of the Nyayo National Stadium as of May 25, 2020
CAPITAL GROUP

"We are currently at the process of completing Jamuhuri Park here in Nairobi, in addition to upgrading sporting facilities in Eldoret, Marsabit, Chuka, Kisumu, Nyeri, Makueni, Kiambu and Kirinyaga Counties. We expect these facilities to be ready for commissioning by the end of December this year," Kenyatta directed.

He added that he was also in discussion with Governors to upgrade facilities in their counties. The head of state indicated that stadiums located in Mombasa, Kakamega, Narok and Kisii Counties will be upgraded to fit stipulated national standards.

The government will also construct a stadium for the Kenya Defence Forces (KDF) at Lang'ata Barracks, Nairobi.

Kenyatta believed that upgrading Nyayo Stadium was a milestone in cementing Kenya as a sporting powerhouse in the world.

"We recognise the special place Kenya has within our national lives. And in this regard, sports in Kenya has received dramatic funding and relating state support and concerted improvement of facilities such as those we have witnessed today," he affirmed.

The President and his Deputy William Ruto have numerously faced criticism over their promise to upgrade and construct stadiums.

In 2017, the duo had assured Kenyans that the Jubilee Government would construct eleven stadiums in the first six months of their second term.

Uhuru to Complete Construction of 9 Stadiums in 3 Months
 
Wawekeze mostly Kwa Athletics track,
Pia rugby size pitches,
Football sioni haja nayo,haijawahi tuletea pride kama nchi.
Hivi zile 5 world class stadia tulizoahidiwa na UHURUTO zimefikia wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii nayo je?
 
Kusadikika
Kenya wanatizamia kuandaa AFCON 2023. Tanzania sisi tunazubaa tu, kama tukiwezakuwashawishi Rwanda tushirikiane nao hiyo ndo itakuwa karata yetu nzuri. Otherwise naona Kenya ashajiandaa na ataomba kuandaa hii michuano.
 
Kwani lazima kila kitu Kenya inachoplan na sisi tufanye? Au ndio mwisho wa hayo mashindano nini? Punguza ulimbukeni
 
Malengo yetu ni kuanda diamond league series na 7s series leg,
ujinga ya football hatuitaji
 
Kenya wanatizamia kuandaa AFCON 2023. Tanzania sisi tunazubaa tu, kama tukiwezakuwashawishi Rwanda tushirikiane nao hiyo ndo itakuwa karata yetu nzuri. Otherwise naona Kenya ashajiandaa na ataomba kuandaa hii michuano.
kweli kabisa ndugu yangu. unajua sisi Watanzania siku zote huwa tumezubaa ndio maanake majirani zetu kutoka kaskazini huwa wanatuponda sana na kutuona hatufai. siku zote huwa tunawaangalia wao wanafanya nini ili na sisi tuweze kuwaiga. tukija kushtuka, tayari kumekucha na wao wako mbele zaidi. Tanzania tuna laana.
 
QUOTE="Naton Jr, post: 36830023, member: 391231"]
Kwani lazima kila kitu Kenya inachoplan na sisi tufanye? Au ndio mwisho wa hayo mashindano nini? Punguza ulimbukeni
[/QUOTE]
Sio lazima sana.. lakin kwa ajil ya watu wetu kupata exposure na kazi inabid tufanye vitu kama hivyo!! Ila sabb katk serikali yetu inaamin katk physical things hawawez kuwaza hilo.. Uraya ( in Magufuli voice) my foot
 
Ndo wanavijenga saiv!! Sisi tunafanya nn? Ndo kwanza TFF wanajenga kituo cha soka Tanga badala ya kujenga Arusha au DODOma
Subiri kwanza wajenge vikamilike ndio useme, hukumbuki waliahidi viwanja vitano vya kiwango cha kimataifa wakati wanaomba kura 2013, hadi sasa hata hawazungumzii tena hiyo habari, wanakuja na viwanja 9. Ni mtu chizi pekee ndiye ataamini yanayosemwa na viongozi wa Kenya.
 
Ndo wanavijenga saiv!! Sisi tunafanya nn? Ndo kwanza TFF wanajenga kituo cha soka Tanga badala ya kujenga Arusha au DODOma
Eti kituo cha Soka kijengwe Dodoma au Arusha, kweli akili sio nywele, ni sawa na kufungua maduka ya nyama ya nguruwe katika nchi ya Saudi Arabia.
 
Subiri kwanza wajenge vikamilike ndio useme, hukumbuki waliahidi viwanja vitano vya kiwango cha kimataifa wakati wanaomba kura 2013, hadi sasa hata hawazungumzii tena hiyo habari, wanakuja na viwanja 9. Ni mtu chizi pekee ndiye ataamini yanayosemwa na viongozi wa Kenya.
Wakat wao wanadanganyana na wananchi wao huu ndo wakati ambao sisi tunatakiwa kufanya kweli! Billion 100 tu zinatosha kujenga viwanja vya 25000 seats Mwanza na ArushaTunaungana na Rwanda, then tunaomba either 2023 au 2025
 
Eti kituo cha Soka kijengwe Dodoma au Arusha, kweli akili sio nywele, ni sawa na kufungua maduka ya nyama ya nguruwe katika nchi ya Saudi Arabia.
Arusha na Dodoma kuna watu wengi..hivyo hata mahitaj ya miundombinu n makubwa ukilinganisha na Tanga, Centre kama ile ikijengwa Ktk hiyo mikoa inaamanisha hata wakat ambao hakuna maandaliz ya timu za taifa centre hizo zinaweza tumika kwa ajili ya academies na kufundishia watoto.. hoyo itasaidia vijna weng unlike Tanga ambapo vijna n wachache!! Na kingine centre kama hiyo inaweza kutumika kama camps za timu za taifa zingine in case tukiandaa Afcon au CHAN
 
Kwanza lazima ujue kwamba population ya Tanga ni kubwa kuliko ya Dodoma na Arusha, pili kituo cha michezo lazima kijengwe katika mikoa ambayo kuna wanamichezo wengi na vijana wenye mwamko na michezo. Mikoa yenye vijana wengi wanaoshiriki michezo kwa wingi ni DSM, Tanga, Morogoro, Mwanza, labda kidogo Mbeya

Ukiacha Dar es Salaam, sikumbuki Kama kuna mkoa mwengine ambao umeshabeba kombe la ligi kuu zaidi ya TANGA. Sasa hivi kwa ngumi ni Tanga na Morogoro. Bendi kubwa za muziki za zamani zilikua Tanga, Dar na Morogoro, hadi leo wanamuziki wengi wa Bongo Flava ni Kigoma, Tanga, Morogoro na Dar.

Ukiacha Dodoma kuwa makao makuu ya nchi, Hakuna wanamichezo kabisa, lakini kumbuka kwamba Dodoma wanajengewa uwanja mkubwa kuliko Mkapa stadium, vipi wajengewe na huu?
 
Wakat wao wanadanganyana na wananchi wao huu ndo wakati ambao sisi tunatakiwa kufanya kweli! Billion 100 tu zinatosha kujenga viwanja vya 25000 seats Mwanza na ArushaTunaungana na Rwanda, then tunaomba either 2023 au 2025
Kaka sisi tunajenga ule wa Dodoma, tayari tuna Benjamin Mkapa, Azam Complex na KCMC wanajenga uwanja wa kisasa kuliko Azam complex, hivyo havitoshi?, Zanzibar kuna Amani stadium, Dar kuna Uhuru stadium, aahh kaka tafadhali kaka, tupo vizuri, hawatuwezi hao wakenya kwa viwanja.
 
Mm nazungumzia vi

mm nazungumzia viwanja vya kuchezea AfCON... viwanja vya dar n ving lakin vitatumika kwa ajil ya Kundi moja tu.. inabid kuwe na viwanja vizuri katika mikoa mingine pia..
 
QUOTE="joto la jiwe, post: 36881075, member: 452226"]
Kwanza lazima ujue kwamba population ya Tanga ni kubwa kuliko ya Dodoma na Arusha, pili kituo cha michezo lazima kijengwe katika mikoa ambayo kuna wanamichezo wengi na vijana wenye mwamko na michezo. Mikoa yenye vijana wengi wanaoshiriki michezo kwa wingi ni DSM, Tanga, Morogoro, Mwanza, labda kidogo Mbeya

Ukiacha Dar es Salaam, sikumbuki Kama kuna mkoa mwengine ambao umeshabeba kombe la ligi kuu zaidi ya TANGA. Sasa hivi kwa ngumi ni Tanga na Morogoro. Bendi kubwa za muziki za zamani zilikua Tanga, Dar na Morogoro, hadi leo wanamuziki wengi wa Bongo Flava ni Kigoma, Tanga, Morogoro na Dar.

Ukiacha Dodoma kuwa makao makuu ya nchi, Hakuna wanamichezo kabisa, lakini kumbuka kwamba Dodoma wanajengewa uwanja mkubwa kuliko Mkapa stadium, vipi wajengewe kwanza Tanga hakuna watu weng kuliko Dom na Arusha.pil tofautisha kati ya Centre of Sports na uwanja. kam issue ni vipaji Moro na Kigoma kuna vipaji ving kuliko Tanga... issue nayozungumza mm n uwezo wa kuhudumia watu wengi zaid na kutumika kwa purpose nying zaid.. io cenytre ikiwa Dom au Arusha itaserve purpose nying kuliko ikiwa Tanga
 
Back
Top Bottom