QUOTE="joto la jiwe, post: 36881075, member: 452226"]
Kwanza lazima ujue kwamba population ya Tanga ni kubwa kuliko ya Dodoma na Arusha, pili kituo cha michezo lazima kijengwe katika mikoa ambayo kuna wanamichezo wengi na vijana wenye mwamko na michezo. Mikoa yenye vijana wengi wanaoshiriki michezo kwa wingi ni DSM, Tanga, Morogoro, Mwanza, labda kidogo Mbeya
Ukiacha Dar es Salaam, sikumbuki Kama kuna mkoa mwengine ambao umeshabeba kombe la ligi kuu zaidi ya TANGA. Sasa hivi kwa ngumi ni Tanga na Morogoro. Bendi kubwa za muziki za zamani zilikua Tanga, Dar na Morogoro, hadi leo wanamuziki wengi wa Bongo Flava ni Kigoma, Tanga, Morogoro na Dar.
Ukiacha Dodoma kuwa makao makuu ya nchi, Hakuna wanamichezo kabisa, lakini kumbuka kwamba Dodoma wanajengewa uwanja mkubwa kuliko Mkapa stadium, vipi wajengewe kwanza Tanga hakuna watu weng kuliko Dom na Arusha.pil tofautisha kati ya Centre of Sports na uwanja. kam issue ni vipaji Moro na Kigoma kuna vipaji ving kuliko Tanga... issue nayozungumza mm n uwezo wa kuhudumia watu wengi zaid na kutumika kwa purpose nying zaid.. io cenytre ikiwa Dom au Arusha itaserve purpose nying kuliko ikiwa Tanga