Viwanja tisa (9) vya michezo ndani ya miezi mitatu ijayo, Rais Uhuru usiwe unatuzuga mzeiya

Mm nazungumzia vimm nazungumzia viwanja vya kuchezea AfCON... viwanja vya dar n ving lakin vitatumika kwa ajil ya Kundi moja tu.. inabid kuwe na viwanja vizuri katika mikoa mingine pia..
Dar kuna VIWANJA vingi kunaweza kaa makundi mawili, Zanzibar kundi Moja, Dodoma ukiisha huo uwanja, Mwanza/Gwambina stadium na Kagera sugar stadium na huo unaojengwa TANGA, vinatosha sana tu.
 
Tumalize la population, Tanga ipo juu ya Arusha, imezidiwa kidogo na Dodoma, hii ni kutokana na hivi karibuni serikali kuhamia Dodoma, lakini Tanga na Dodoma kama zinalingana
Tanzania: Regions and Cities - Population Statistics, Maps, Charts, Weather and Web Information

Sasa mbona unaingiza MOROGORO na Kigoma wakati tulikua tunalinganisha kati ya Tanga, Dodoma na Arusha?. Sasa ulivyotaja Kigoma ndio umejichanganya kabisa, Kigoma hakuna vijana kabisa wanaojishughulisha na michezo, ukiacha Kaseja ambaye amekulia Kigoma, ni vijana gani wanamichezo waliotokea Kigoma?, sitegemei utaje Ali Kiba, Diamond au Ommy Dimpos, hao wote ni wazaliwa wa Dar ila kabila lao ni kutoka Kigoma, Kigoma kuna timu gani ya mpira, Dodoma kuna mchezo gani maarufu?
 
Kenya wanatizamia kuandaa AFCON 2023. Tanzania sisi tunazubaa tu, kama tukiwezakuwashawishi Rwanda tushirikiane nao hiyo ndo itakuwa karata yetu nzuri. Otherwise naona Kenya ashajiandaa na ataomba kuandaa hii michuano.
labda AFCON ya badminton
 
.
Tungekuw na laana we nyang'au colona ingetumaliza.sisi tunafanya yetu ,nyie endeeleni kufanyiw na genge la Mr freedom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…