tajiridalali
Member
- Sep 17, 2018
- 52
- 11
Nipigie simu 0693084522Mkuu nitafutie cha 2.5m kama kilo ni pm
Ring road upande wa ng'ong'ona pale jirani na chuo kikuu cha dodoma (UDOM)Embu weka maelezo ya kutosha basi...Hiyo ring road ndio ipo umbali gani toka mjini, ni ktk kitongoji gani? Mbona viwanja vingi vionekanavyo ni vya sqm 1400?
Hili ni miongoni mwa tangzo dhaifu kuwahi kupostiwa JF.. Tofauti na picha na bei hakuna maelekezo mengine muhimu yanayotakiwa na mteja..Ring road upande wa ng'ong'ona pale jirani na chuo kikuu cha dodoma (UDOM)
Maeneo yanauzwa kwa hekari ila ndani yana viwanja vilivyopimwa
Asante, ila ulipaswa kupiga simu namba zipo hapoHili ni miongoni mwa tangzo dhaifu kuwahi kupostiwa JF.. Tofauti na picha na bei hakuna maelekezo mengine muhimu yanayotakiwa na mteja..
Jipange upya Mkuu
Hivi ring road hii inayojengwa ipo huku Ng'ong'ona? mimi navyojua ringroad inaunganisha Nala Hadi ihumwa nyuma Hadi chamwino nyuma inakuja tokea njia ya DSM na inajengwa ili kuzuia msongamano ndani ya barabara za Dodoma ili magar yote yanayotokea njia ya mwanza hayatapita mjini yatapita nyuma kwa nyuma Hadi kukutana na njia ya DSM mbele huko. Au ring road unayoongelea ni ipi?Ring road upande wa ng'ong'ona pale jirani na chuo kikuu cha dodoma (UDOM)
Maeneo yanauzwa kwa hekari ila ndani yana viwanja vilivyopimwa
Ndiyo hiyo, inazunguka mji mzima wa dodoma, ukifika site ukaangalie ramani na barabara ilivyoHivi ring road hii inayojengwa ipo huku Ng'ong'ona? mimi navyojua ringroad inaunganisha Nala Hadi ihumwa nyuma Hadi chamwino nyuma inakuja tokea njia ya DSM na inajengwa ili kuzuia msongamano ndani ya barabara za Dodoma ili magar yote yanayotokea njia ya mwanza hayatapita mjini yatapita nyuma kwa nyuma Hadi kukutana na njia ya DSM mbele huko. Au ring road unayoongelea ni ipi?
ungesubiri uchagui upite mkuu manake hiyo Ring Road inaweza bakia kuwa ndoto mkuunvestorsonly, #investors
Huge surveyed plots for sell in Dodoma town along the ring road ( Ring road soon).
6,500,000 TSH for one acre, there are more than 20 Acres, come and pick yours
+255 693 084 522 Airtel
+255 753 236 012 Vodacom
#VIWANJA,
#plotsforsale
#homeforsale
#dodoma
#Magufuli5Tena
#diamondplatnumz
#nunua
#INAUZWAView attachment 1607188
Bila shaka ni hivi vya kampuni ya LUICO walivyonunua kwa wananchi mwanzoniRing road upande wa ng'ong'ona pale jirani na chuo kikuu cha dodoma (UDOM)
Maeneo yanauzwa kwa hekari ila ndani yana viwanja vilivyopimwa