Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

nvestorsonly, #investors

Huge surveyed plots for sell in Dodoma town along the ring road ( Ring road soon).

6,500,000 TSH for one acre, there are more than 20 Acres, come and pick yours

+255 693 084 522 Airtel
+255 753 236 012 Vodacom

#VIWANJA,
#plotsforsale
#homeforsale
#dodoma
#Magufuli5Tena
#diamondplatnumz
#nunua
#INAUZWAView attachment 1607188
Pumbavu wewe kamuuzie Magufuli wako!
 
Mawasiliano : 0693084522

Viwanja vipo saba kila kimoja kinaukubwa wa mita za mraba 800 na vimepimwa documents pia zipo.
Kila kiwanja nakiuza milioni sita tu.

Viwanja hivi vipo iyumbu mtaa wa UDOM, eneo limejengeka sana na huduma za kijamii kama maji na umeme vipo karibu,
Mazungumzo juu ya bei hapana.

IMG-20201020-WA0000.jpg
20201017_120102.jpg
 
Hivi ring road hii inayojengwa ipo huku Ng'ong'ona? mimi navyojua ringroad inaunganisha Nala Hadi ihumwa nyuma Hadi chamwino nyuma inakuja tokea njia ya DSM na inajengwa ili kuzuia msongamano ndani ya barabara za Dodoma ili magar yote yanayotokea njia ya mwanza hayatapita mjini yatapita nyuma kwa nyuma Hadi kukutana na njia ya DSM mbele huko. Au ring road unayoongelea ni ipi?
Mkuu naona uko informed hivi hiyo barabara inapitia karibu na chuo cha Mipango na kutokea Nane nane ama hii ni nyingine. Maana maeneo hayo karibu na Kanisa la Walokole (Mwisho wa Lami ) wameweka alama za uthamini lakini kwa sasa wamepotea kabisa. Kama ni hiyo naomba nijuze
 
Mkuu naona uko informed hivi hiyo barabara inapitia karibu na chuo cha Mipango na kutokea Nane nane ama hii ni nyingine. Maana maeneo hayo karibu na Kanisa la Walokole (Mwisho wa Lami ) wameweka alama za uthamini lakini kwa sasa wamepotea kabisa. Kama ni hiyo naomba nijuze
Upande huo wa huko mipango siyo yenyewe, yenyewe inapitia veyula, mtumba, kikombo, chamwino, matumbulu, udom, ng'ong'ona, nala. Yaani kifupi inazunguka mji mzima wa dodoma
 
Ukubwa wa viwanja SQM 700,

Viwanja vipo KM 12 kutokea mjini. Viwanja vina huduma ya maji karibu kabisa ila umeme haujafika hapo japo haupo mbali pia.

Viwanja ni vya kwanza kutokea barabara inayoelekea Mapinduzi na vipo sehemu ambayo ni tambarare kabisa.

Wasiliana kwa namba za simu zifuatazo;
0693084522 kumbuka kila kiwanja bei yake ni Milioni tatu na nusu tu.

IMG-20201105-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom