Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

sasa awamu mbili ndani ya miezi mingapi? na kama ungeweka ramani ili watu waitathmini
Tazama hapo
20201128_095843.jpg
 
Hivo viwanja si ndo vyenye mgogoro na Manispaa? Si ndo wenye eneo wameingizwa chaka?

Ngoja niishie hapa
Hapana, tukihitaji kuuziana unaenda kukagua ili ujiridhishe, hakuna mgogoro wowote na wala haujawahi kutokea hapa
 
Mbona unaelekezea tu umbali kwa sq na km kutoka sehemu maarufu?

Wewe sema ni D/ makulu?, ng'ong'ona?, ntyuka? Au nzuguni? N.k
 
Vya kuambiwa changanya na zako we ungenunua tu utakayo ya kuta utapambania tu.

Hapana mkuu we nunua tu,, litalotokea utapambania tu ila ukae chonjo.
Utapambania vipi Mkuu? Unaujua mziki wa kununua kiwanja chenye mgogoro wewe au unausikia tu?
 
Rejea maada nilizozijibu hapo juu mkuu, napenda kutangaza biashara ambayo nina uhakika nayo, ndiyo maana kabla ya biashara mteja unajiridhisha kote then tunafanya biashara
 
Unapaswa kudhibitisha kwa vielelezo kuwa sio kweli,
Okay, uthibitisho wangu mkubwa ni kwamba yale maeneo yamepimwa juzi tu kwahiyo ni viwanja vipya, Dodoma viwanja vilivyopata migogoro ni vile ambavyo vilipimwa na CDA kwani CDA hawakulipa Fidia kwa watu ambao maeneo yao yalitwaliwa na hao CDA wakasababisha mgogoro kwa watu. Ila haya maeneo yaliyopimwa kipindi hiki cha manispaa kukabidhiwa ishu ya ardhi viko salama kabisa, kuweni na amani ndugu zangu Watanzania
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Mawasiliano: 0693084522

Viwanja vipo umbali wa KM 12 Kutokea bungeni

Viwanja vimepimwa na vinaukubwa wa SQM 800 kila kimoja jumla vipo 17 bei milioni 3,500,000 kila kimoja

Huduma za kijamii hazipo mbali na kiwanja, mfano maji ndiyo yamepakana na eneo vinapoanzia viwanja kabisa

Viwanja vipo umbali wa mita 700 kutokea hospital ya benjamin mkapa, na viwanja 9 vimetazama barabara ya mita 40 unayoelekea Mapinduzi

Tunaposema SQM 800 tumamaanisha ni marefu mita 38 kwa mapana mita 22.5

View attachment 1640022
vina hati? bila hati ni kimeo pale manispaa kuna wafanyakazi mashetani hati ni mbinde kichizi
 
Okay, uthibitisho wangu mkubwa ni kwamba yale maeneo yamepimwa juzi tu kwahiyo ni viwanja vipya, Dodoma viwanja vilivyopata migogoro ni vile ambavyo vilipimwa na CDA kwani CDA hawakulipa Fidia kwa watu ambao maeneo yao yalitwaliwa na hao CDA wakasababisha mgogoro kwa watu. Ila haya maeneo yaliyopimwa kipindi hiki cha manispaa kukabidhiwa ishu ya ardhi viko salama kabisa, kuweni na amani ndugu zangu Watanzania
Tatizo kupata hati kimbembe...pale manispaa kuna wafanyakazi washenzi washenzi sana..sina hamu kabisa
 
Suala la hati tutakusaidia kuondoa kusumbuliwa, tuachie jukumu hilo tutakubaliana kwenye mikataba kuhakilisha unapata hati yako,
 
Back
Top Bottom