Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

Nimefatilia michango ya wadau, madai yaliyotolewa na baadhi ya wateja kuhusu utata wa viwanja, utetezi wa dalali na vidhibiti/documents zake kisha uchambuzi wa wadau wataalamu ktk fani zihusuzo hivyo vidhibiti, nililotoka nalo ni kuwa kuna utata mahala fulani.
 
Haa😁😂😅😄😃😀😁😂
Atapata Matatizo Gani?
Kumekucha Asiye Na Mwana Aeleke Jiwe
Mkwara wa Madalali wasiosoma, hakuana mbabe wa kuwa na viwanja 17 hajui hata namba za Plot
tumuachie aendelee kula vichwa maana Mungu kapanga riziki mafungu 7
 
Mkwara wa Madalali wasiosoma, hakuana mbabe wa kuwa na viwanja 17 hajui hata namba za Plot
tumuachie aendelee kula vichwa maana Mungu kapanga riziki mafungu 7
Haa😁😂
Kile Kijiji Ng'ong'ona Wala Hakijaendelea,
Kule Wanaomea Sana Ni Fisi Na Nyoka

Ila DodomaIkiongelewa Na Wana Siasa Utafikiria Dubai
Fika Sasa Ujionee Ndiyo Utajua Bado Bado Sana
Watu Hapo City Centre Wakati Wa Jua Kali Sana
Wakioga Kwenye Guest, Lodge, Hotel, Motel
Utaona Mfumo Wa Maji Taka Unalemewa
Unatapika
 
Sawa mkurugenzi wa jiji, [emoji122] ukiwa hujui kitu ukae kimya siku nyingine utapata matatizo kwa kupotosha umma,
kama una kiwanja hata kimoja ktk hivyo 17 weka barua yake hapa, km umetumwa waambie huo ni upotolo wa kizamani, huwezi kuwa na ramani tofauti ukwaeleza waTZ kuwa pana kiwanja chako hapo
1606933090532.png

1606933151330.png

ni namba ngapi? na ukazungushie na kalamu tu kuwa ni namba ngapi
Biashara njema Dalali, ile biashara ya kukutana Msikiti wa Nunge au kwa Ismaili imepitwa na wakati
 
Jamii forum ni kugumu sana, shida watu uelewa tofauti hata jambo liwe sahihi kiasi gani mtu kubisha ni jadi yake kwa kuwa ndiyo nchi yetu ngoja tuvumilie tu
 
Jamii forum ni kugumu sana, shida watu uelewa tofauti hata jambo liwe sahihi kiasi gani mtu kubisha ni jadi yake kwa kuwa ndiyo nchi yetu ngoja tuvumilie tu
Pole sana. Humu JF wapo watu wenye taarifa nyingi na wenye uelewa wa mambo pia. Unaweza kuta huyo anaetoa taarifa ndio afisa mipango wa mji wa Dodoma, kwahiyo unaweza kuta anataarifa za uhakika zaidi.

Ili watu waweze kuamini biashara yako, unachotakiwa kufanya ni kuweka vithibitisho vinavyohitajika. Na ukiweka hivo vithibitisho watu wa humu JF wanavijua, na watasema tu kwamba hili eneo ni salama, na wateja utawapata wengi. Ukiishia kusema "tuvumilie" inakua haisaidii, na watu wataamini kwamba biashara yako sio salama.

Kama wewe sio dalali, na ndiye mmiliki halali lazima utakua na nyalaka zote za uhalali wa hilo eneo. Weka picha zake hapa watu wafanye maamuzi. Nakutakia biashara njema.
 
MKALAMA, BLOCK N
PLOT NO 64
UKUBWA SQM 883

UMILIKI WA KIWANJA NI WA OFA

MAWASILIANO YA SIMU 0693084522
Bei milion tisa tu ( 9,000,000)

NYUMBA ZIPO JIRANI NA HUDUMA ZA KIJAMII KAMA MAJI NA UMEME VIPO KARIBU, PANAFIKIKA NA GARI.
20200902_164632.jpg
 
MTUMBA, BLOCK LY
PLOT NO 289
UKUBWA SQM 892

UMILIKI WA KIWANJA NI WA HATI KABISA, WASILIANA NAMI KWAAJILI YA BIASHARA BEI YAKE 6,500,000

MAWASILIANO YANGU 0693084522
IMG-20201015-WA0015.jpg
 
Kiwanja kipo NALA IFM
UKUBWA SQM 786

Status; Bado hapajajengeka pamepimwa na nyaraka za umiliki ni barua kutoka jiji

Bei milioni moja tu ( 1,000,000)
Mawasiliano ni 0693084522
20201206_092408.jpg
 
Back
Top Bottom