yaani upo sahihi kabisa
mm hakuna watu nawachukia kama madalali wa viwanja wa pale Dodoma, sasa wanawadanganya watu wa mbali, wasioijua Dodoma wakiwadanganya CDA ndio waliharibu
Ng'ong'ona ina Mtendaji wa Kata kwao jirani na mkulu ana kiburi ni na ndiye tajiri hapo kijijini
Pili Jiji chini ya Kunambi iliuza viwanja kwa kutanguliza bei na walipewa miezi michahche wamalize deni sasa 85% hawakumaliza, sasa sijui huyu tajiridalali yeye kapate viwanja vinavyofuatana
Hapo Kijijini ni karibu kabisa na UDOM wafanyakazi wengi wamepanga kwa wenyeji na wanajenga huko.
Bado kuna migogoro ya viwanja sana na hata km ni kweli bei sio hiyo ya 3,5M
Jamani pateni Block ya hilo eneo ndipo mkaulize Plot watu wenye ramani ni wengi, mtapigwa mlie kilio cha umbwa kwani ramani zote mpaka sasa hivi hazifanani sio kwa Block wala Plot