Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Dodoma Mjini

tajiridalali

Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
52
Reaction score
11
MAWASILIANO YANGU
0745298903 AU 0693084522

Bei yake 8,000,000 (maongezi yapo kidogo)
Ukubwa SQM 678 sawa na Mita 23 Kwa 30
Eneo lipo sehemu nzuri na iliyopangika sawa na ramani inavyoeleza.

IMG_20190409_164525.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nvestorsonly, #investors

Huge surveyed plots for sell in Dodoma town along the ring road ( Ring road soon).

6,500,000 TSH for one acre, there are more than 20 Acres, come and pick yours

+255 693 084 522 Airtel
+255 753 236 012 Vodacom

#VIWANJA,
#plotsforsale
#homeforsale
#dodoma
#nunua
#INAUZWA
IMG-20200921-WA0026.jpg
 
Embu weka maelezo ya kutosha basi...Hiyo ring road ndio ipo umbali gani toka mjini, ni ktk kitongoji gani? Mbona viwanja vingi vionekanavyo ni vya sqm 1400?
Ring road upande wa ng'ong'ona pale jirani na chuo kikuu cha dodoma (UDOM)
Maeneo yanauzwa kwa hekari ila ndani yana viwanja vilivyopimwa
 
Hili ni miongoni mwa tangzo dhaifu kuwahi kupostiwa JF.. Tofauti na picha na bei hakuna maelekezo mengine muhimu yanayotakiwa na mteja..
Jipange upya Mkuu
 
Asante, ila ulipaswa kupiga simu namba zipo hapo
 
Ring road upande wa ng'ong'ona pale jirani na chuo kikuu cha dodoma (UDOM)
Maeneo yanauzwa kwa hekari ila ndani yana viwanja vilivyopimwa
Hivi ring road hii inayojengwa ipo huku Ng'ong'ona? mimi navyojua ringroad inaunganisha Nala Hadi ihumwa nyuma Hadi chamwino nyuma inakuja tokea njia ya DSM na inajengwa ili kuzuia msongamano ndani ya barabara za Dodoma ili magar yote yanayotokea njia ya mwanza hayatapita mjini yatapita nyuma kwa nyuma Hadi kukutana na njia ya DSM mbele huko. Au ring road unayoongelea ni ipi?
 
Ndiyo hiyo, inazunguka mji mzima wa dodoma, ukifika site ukaangalie ramani na barabara ilivyo
 
ungesubiri uchaguzi upite mku
nvestorsonly, #investors

Huge surveyed plots for sell in Dodoma town along the ring road ( Ring road soon).

6,500,000 TSH for one acre, there are more than 20 Acres, come and pick yours

+255 693 084 522 Airtel
+255 753 236 012 Vodacom

#VIWANJA,
#plotsforsale
#homeforsale
#dodoma
#Magufuli5Tena
#diamondplatnumz
#nunua
#INAUZWAView attachment 1607188
ungesubiri uchagui upite mkuu manake hiyo Ring Road inaweza bakia kuwa ndoto mkuu
 
Back
Top Bottom