Viwanja vinauzwa vimebaki vinne eneo la Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. Ukubwa wa 20x20 bei 1.8m. Eneo ni zuri na tambarare. Huduma za kijamii zipo karibu. Waweza kuunganisha hata zaidi ya kiwanja kimoja. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0685401051