Viwanja vinauzwa mita 30 kutoka barabara ya lami ya Makongo-Goba

Viwanja vinauzwa mita 30 kutoka barabara ya lami ya Makongo-Goba

Joined
Sep 11, 2024
Posts
33
Reaction score
46
Habari za muda huu...

Viwanja vinauzwa..

πŸ“ Vipo goba kantina (Makongo road)

⌚ Dakika mbili kutoka Goba center πŸ”₯

⌚ Dakika 15 kutoka Mlimani city πŸ”₯

πŸ›£οΈ Mita 30 tuu kutoka barabara ya lami

🏟️ Upande wa kulia kutokea Mlimani city

🏟️ Upande wa kushoto kutoka Goba

🏟️ Viwanja vipo tambalale kabisaaa πŸ”₯

🏟️ Viwanja ni vingi kuanzia sqm 520 mpaka utakapotaka wewe βœ…

πŸ’°SQM moja inauzwa Tzs 150,000/=

😱 Inamaana kiwanja kidogo kabisa kinauzwa tzs 78,000,000 (milioni 78)

Hii ukiamua kukosa ni wewe...

☎️ +255 699 255 530

Piga simu sasa tuzungumze

Au nifate whatsapp
 
Attachments

  • IMG_2204.jpeg
    IMG_2204.jpeg
    2.3 MB · Views: 9
  • IMG_2202.jpeg
    IMG_2202.jpeg
    2.5 MB · Views: 9
Habari za muda huu...

Viwanja vinauzwa..

πŸ“ Vipo goba kantina (Makongo road)

⌚ Dakika mbili kutoka Goba center πŸ”₯

⌚ Dakika 15 kutoka Mlimani city πŸ”₯

πŸ›£οΈ Mita 30 tuu kutoka barabara ya lami

🏟️ Upande wa kulia kutokea Mlimani city

🏟️ Upande wa kushoto kutoka Goba

🏟️ Viwanja vipo tambalale kabisaaa πŸ”₯

🏟️ Viwanja ni vingi kuanzia sqm 520 mpaka utakapotaka wewe βœ…

πŸ’°SQM moja inauzwa Tzs 150,000/=

😱 Inamaana kiwanja kidogo kabisa kinauzwa tzs 78,000,000 (milioni 78)

Hii ukiamua kukosa ni wewe...

☎️ +255 699 255 530

Piga simu sasa tuzungumze

Au nifate whatsapp
Aisee
 
Hata new york kuna mitaa kiwanja ni rahisi kuliko huko,dk 15 from mlimani city unakuwa bado uko makongo juu
 
Habari za muda huu...

Viwanja vinauzwa..

πŸ“ Vipo goba kantina (Makongo road)

⌚ Dakika mbili kutoka Goba center πŸ”₯

⌚ Dakika 15 kutoka Mlimani city πŸ”₯

πŸ›£οΈ Mita 30 tuu kutoka barabara ya lami

🏟️ Upande wa kulia kutokea Mlimani city

🏟️ Upande wa kushoto kutoka Goba

🏟️ Viwanja vipo tambalale kabisaaa πŸ”₯

🏟️ Viwanja ni vingi kuanzia sqm 520 mpaka utakapotaka wewe βœ…

πŸ’°SQM moja inauzwa Tzs 150,000/=

😱 Inamaana kiwanja kidogo kabisa kinauzwa tzs 78,000,000 (milioni 78)

Hii ukiamua kukosa ni wewe...

☎️ +255 699 255 530

Piga simu sasa tuzungumze

Au nifate whatsapp
Pana maajabu gani huko? Mnapandisha bei bila sababu ya maana
 
Ukiamua kukosa,Ni Wewe tu..... ! Kidogo Cha chini ni 78 M ...!

Huko daslam mna Hela sana eee.?
 
Ukiamua kukosa,Ni Wewe tu..... ! Kidogo Cha chini ni 78 M ...!

Huko daslam mna Hela sana eee.?
Basi tu ujinga wa watu wa Daslamu mbona huko Vikindu viwanja vya laki 8 watu wanakoroma tu.Utadhani Goba ni site ya mbinguni.
 
Basi tu ujinga wa watu wa Daslamu mbona huko Vikindu viwanja vya laki 8 watu wanakoroma tu.Utadhani Goba ni site ya mbinguni.
Vikindu unalinganisha na Goba?
Tofauti kubwa Sana.
Sema hiyo bei ni kubwa sana kwa maeneo hayo.
 
Vikindu unalinganisha na Goba?
Tofauti kubwa Sana.
Sema hiyo bei ni kubwa sana kwa maeneo hayo.
Mkuu namaanisha kote huko usingizi unapata.Kwa ujumla nyie huko Daslamu mna ujinga mwingi.
 
Binafsi nadhani maeneo ya Mkuranga yatakuwa mabaya kwa makazi ya binadamu kutokana na uwepo wa viwanda vingi.

Maeneo mazuri kwa wafugaji na wakulima ni Kuanzia MKIU hadi Kibiti
 
Hayo maeneo ya makongo yapo chini ya jeshi na ardhi chuo kikuu
 
Back
Top Bottom