Plot4Sale Viwanja vya bei rahisi Kigamboni karibu na bahari

The how part, the methodology is a trade secret. We kula findings tu...
So far, ramani yote ya Dar 'iko kwenye kiganja changu'!
Nimefanya kazi ya sales kwa mda mrefu Dar. Nazijua kona zote za jiji!
 
Duuh,hukawii kukuta kibao cha unaingia Rufii
Kuna dei moja mwaka 2016 jamaa yangu aliuziwa kiwanja huko kigamboni ila alipewa ramani tu akalipia, siku moja akaniambia twende tukaone kiwanja, nlikuwa na gx110 tuliweka lita40 kwenda na kurudi Kimanzichana tuliiacha mbaali sana, nikamwambia "Oi mwana hapa tunatoboa KIBITI 🤣🤣🤣🤣"
Tukafika kwenye kiwanja MAFIA mnaiona palee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakin huku buyuni mbona kuna watu kabisa...


Maana kuna kicentre kikubwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…