Plot4Sale Viwanja vya bei rahisi Kigamboni karibu na bahari

Mwaka jana mtu alikuwa anauza shamba la familia buyuni aisee ni mbali sana nilikanyaga mafuta ikabidi mdogo wangu saa ya kurudi aendeshe yeye halafu nilipata hecra 7 kwa 13ml ila nilishindwa umbali,baadae nakuja ambiwa kule hecra 1 hata 500,000-1,000,000 unapata ukiongea vizuri na wazee wa kule,kam mtu unanunua nunua ila kwa baadae japo kuna watu wanaishi
 
Heka kwa 500k!!?

Sasa hawa wa kuuza mil 2 kwa square meter 400 wanatoa wapi
 
Nataka kujua umbani toka site mpaka baharini siosio Kigamboni mpaka ferry

Umesoma vizuri mzee baba ulichoandika?

Anyway watu wa jeiefu ni hadi mtafuniwe...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…