monga farm
Member
- Jun 25, 2021
- 89
- 163
Mwaka jana mtu alikuwa anauza shamba la familia buyuni aisee ni mbali sana nilikanyaga mafuta ikabidi mdogo wangu saa ya kurudi aendeshe yeye halafu nilipata hecra 7 kwa 13ml ila nilishindwa umbali,baadae nakuja ambiwa kule hecra 1 hata 500,000-1,000,000 unapata ukiongea vizuri na wazee wa kule,kam mtu unanunua nunua ila kwa baadae japo kuna watu wanaishiKm 45 si mchezo,kuna siku nilikuwa naenda huko kufanya utalii,kanyaga sn mafuta alafu barabara nyeupe ingawa ukipita mjimwema Kwa mbele Tu hapo lami inaisha unakula vumbi .Baada ya kutembea sn Nikafika kijiji fulani nikauliza hapa wapi nikaambiwa hapa kimbij,nikauliza tena buyuni ni karibu nikajibiwa bado sn[emoji3]..Nikaishia hapo hapo kimbiji nikala ugali mgahawani na kupiga misele kadhaa nikarudi
Siku nyingine nilirudi tena rasmi Buyuni.Ni pazuri Kwa uwekezaji wa baadae.Hata mbagala zamani kulikuwa shamba na Ile kambi ya jeshi ilikuwa mwisho wa mji lkn Leo ipo katikati mji umefika Hadi chamazi huko