S Shehullohi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2020 Posts 3,753 Reaction score 3,685 Jul 14, 2021 #41 Bams said: Mpaka leo mazishi ya dikteta Mussolin ndiyo mazishi yaliyoongoza kwa kuhudhuria na watu wengi duniani kuliko mtu yeyote. Kwa nini madikteta mazishi yao huwa yanahudhuriwa na watu wengi? Click to expand... Muulize yule aliye mwaga chozi baada ya kusikia sauti ya unayemuita diktet ikigezwa atakupa jibu kwa nini anamkumbuka kwa kilio. Au yalikuwa machozi ya mamba ndani ya maji?
Bams said: Mpaka leo mazishi ya dikteta Mussolin ndiyo mazishi yaliyoongoza kwa kuhudhuria na watu wengi duniani kuliko mtu yeyote. Kwa nini madikteta mazishi yao huwa yanahudhuriwa na watu wengi? Click to expand... Muulize yule aliye mwaga chozi baada ya kusikia sauti ya unayemuita diktet ikigezwa atakupa jibu kwa nini anamkumbuka kwa kilio. Au yalikuwa machozi ya mamba ndani ya maji?