Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Mpaka leo mazishi ya dikteta Mussolin ndiyo mazishi yaliyoongoza kwa kuhudhuria na watu wengi duniani kuliko mtu yeyote.
Kwa nini madikteta mazishi yao huwa yanahudhuriwa na watu wengi?
Muulize yule aliye mwaga chozi baada ya kusikia sauti ya unayemuita diktet ikigezwa atakupa jibu kwa nini anamkumbuka kwa kilio. Au yalikuwa machozi ya mamba ndani ya maji?