Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Bora wewe ulijua mdau Yuko upande Gani. Sasa Mimi nilishindwa kuelewa isije ikawa Mimi ndio nawindwa
 
Lango la Jiji
Madoto Bar
Silent Inn
Mbalamwezi
Escape one
Kawe Beach Club Bado inadunda, Askofu Bado anachoma samaki Toka zama za marehemu Mwaipungu.

Nikianza kula samaki wa kuchoma Kawe Beach tangu samaki wakiwa wanauzwa sh. 500 (siyo 5000).

Magreth Mengi Ngimba, Cyprian Phillip Mayagi, Gilbert Sanga a.k.a Gill Biz na ndinga yetu Mark ll Super Charger 24 Valve.
 
Nani anaikumbuka Dar Carnival ilikuwa pale Kijitonyama sayansi
The Carnival ulikuwa ni ukumbi wa sherehe na mini bar.
Nakumbuka siku moja kulikuwa na shindano la Miss Tanzania, tukiwa na Mula Mwakibete, Cynthia Maduhu na Astrida Kanana Edward Hamathe.

Alikuwepo tajiri mmoja anaitwa Kayemba Shentemba, mlangoni anagawa Dola 100 Kwa Kila anayeingia
 
Mmmh!Viwanja vyote bar na Club.
Aisee hakuna hata sehemu moja ya kunikaribisha hapa.
 
Calabash Mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…