Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Nyamachabes
 
Shashaa Kwa supu ya kongolo kichwa na ulimi alikuwa balaa, pale lile eneo panaitwa Chadema.
 
Ronnies corner oysterbay ,palikuwa patulivu sana Kwa kupata menu na kucheza pool table bila kelele au vurugu
 
We mlevi umelala?
 
Next door ,bucket ....na mwisho kabisa ikafaaa maison


Kuna chimbo kali la muda wote la wanachuo enzi mwaka 2010 hadi 2015 likafa lile chimbo liliiitwa savannah lounge posta benjamini tower bwana wewe wanafunzi wa vyuo vyote pale.....kila ijumaa full watu pale savanna bora narudia tena vyuo vya dar ndo vilikuwa vinakutania pale savanna


Pia hapo posta kulikua na high spirit watoto wa ifm........
Gongo la mboto mitaa ya mombasa pia kuliwa na club moja inaitwa shemshii club nayo ilitikisa gomz 2011_2012

Hadi sasa alibaki mkongwe kwenye hii biashara na mwenye jina maarufu ni samaki samaki

Biashara ya starehe ni nzuri ikikubali jenga kabisa huwa haidumu ndo nilichojifunza kama mdau wa viwanjaaa ukifanya hii biashara uka hit 10 years we mbabe wengi wanahit 5 years walevi wana hama ......
 
1.The G's Pub Sinza kushoto ya Ambience,
2. Kalabash survey mwenge
3. Mzalendo pub kijitonyama
4. Breakpoint kijitonyama
5. Club ya kizushi pale Ubungo external
6. Maisha club morogoro
7. The Big L Arusha
8. Bugaloow club Arusha
9. Kijiwe nongwa magorofani morogoro.
10. Yenu Bar Ubungo mataa

🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…