Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

5ca73f3d6ad14952a3bc5e5edfea7d3d.jpg
 
Litingi..Mtwara.
Kwa Limo... Mtwara.
GR 7 ... Mtwara.
Blantyre... Mtwara.
Fire..... Mtwara.
Millennium... Mtwara.
Mduleni..... Mtwara.
Masasi Hotel....Masasi Mtwara.
 
Yani nimelikumbuka lile dimbwi lilokuwa pembeni ya kijiwe hatari sana na kale kagiza..,,,! Kama sio Mtambuzi nilikuwa niogelee pale ..,,😂😂😂😂
Hebu nikumbushe ilikuwaje....
Yani nimelikumbuka lile dimbwi lilokuwa pembeni ya kijiwe hatari sana na kale kagiza..,,,! Kama sio Mtambuzi nilikuwa niogelee pale ..,,😂😂😂😂
 
Thread kama hizi hazina mantiki yoyote, kwamba unataka kutuonyesha we wa town kitambo
 
Bora umemwambia, nishapekuliwa wallet uzuri pesa nyingi niliisunda ndani ya bag. Sina hamu na mademu wa Arusha nikifika huwa nawaona kama mabroo tu sishoboki nao, mi mitungi tu nikichoka haraka kulala. Halafu yanatongoza hadi wanaume haki wallah
True
 
Back
Top Bottom