Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Kwa God mbezi mwisho ,,, hii bar ilikuwa inakesha, malaya kama wote mix mishogga!

Dagaa dagaa hapo sinza Leggo,,, hapa nimekula sana vitoto vya chuo

Yenu bar ubungo ,,,, misosi sio poa aloo ugali mbuzi nimekula sana hapo !

Matungucha kimara mwisho ,,,,
Kwa god inadumu hadi leo
 
1. Maryland Bar, ITV, Mwenge.
2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama.
3. Chagga Bite Bar, Makumbusho.
4. Mori Bar, Sinza.
5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani.
6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City
7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya.
8. Meeda Night Club, Sinza Mori.
9. Club Billicanas, Jamhuri/ Mkwepu Street,City Centre.

Cafe Latino opposite Mlimani City
 
1. Maryland Bar, ITV, Mwenge.
2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama.
3. Chagga Bite Bar, Makumbusho.
4. Mori Bar, Sinza.
5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani.
6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road, opposite Mlimani City
7. Karembu Bar, Barabara ya Tano, Soko Matola, Mbeya.
8. Meeda Night Club, Sinza Mori.
9. Club Billicanas, Jamhuri/ Mkwepu Street,City Centre.
Maryland posho yangu ya chuo imeungua sana kijiwe cha watumishi wa ITV rip 🙏 uncle Jay
 
Meridian, vijana,uhuru camp,lango la jiji,kiria bar supu vichwa mbuzi migo,
Kwa Macheni nilikua member kabisa amana kuna bar hatari
Romana bar napakumbuka
Kuna nyuma buguruni europa pub ,lambo bar manzese pale Sinza zimejaa mpk basi,ambiance ,j bar, mtaa wote shekilango.
Mungu saidie tuko hai mpk leo
Meridian masai ipo
 
Nick's Pub njiro opp BP Arusha dah kulikuwa na samaki mwanza fish foil safi sana
 
Ryan Pub sokota
Stereo vetenari
Hombus kino.
Stella Pub tx market.
Mk kino
Kawe club kwa wanajeshi unakunywa ukilewa unadundwa vilevile😁😅😅😅,bia bei sawa na bure utaenda tena tu.
Avocado kawe....
 
Back
Top Bottom