Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Afadhali umeliona hiloHapa kuna watu watapata hasara ya hatari!
Wengi watapata tabu pia kwa sababu wana utajiri wa ardhi usio na maelezo ambapo itasababisha wahojiwe chanzo cha utajiri utajiri huo...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametanza rasmi kuanzia July 01 2021, kuanza kwa zoezi la Kitaifa la uhakiki wa umiliki wote wa ardhi kwa kutumia kitambulisho cha NIDA kwa Nchi nzima....
Weka namba yako hapa nitakupigia 😂Mnada ukianza naomba nijulishwe...
Nataka nimnunulie bae sqm. 810
Wanawaza kupora tu,wao mbona wameuza nyumba za serikali kwa bei ya kiwanja kijijini.Serikali fukara ya mawazo, fedha na kila kitu
Nchi masikini ndo ufikiria kuhoji utajiri wa mtu badala ya kuangalia mchango wake upi kwenye mzungukoHapa kuna watu watapata hasara ya hatari!
Wengi watapata tabu pia kwa sababu wana utajiri wa ardhi usio na maelezo ambapo itasababisha wahojiwe chanzo cha utajiri utajiri huo...
Sio kweli! Kinachotafutwa na serikali ni kila mtu amiliki mali ambazo zinatambulika kwa jina lake na ziwe kwenye rocord ili kuepusha wenye hela za ujanja ujanja kukwepa mkono wa serikali.HII NI MBINU YA KUTAKA KUWANYANG'ANYA VIWANJA MASIKINI WAWAPE MABWANA ZAO MATAJIRI! NGOJA MTAONA UTEKELEZAJI WAKE.
Nani alikwambia nchi zilizoendelea hawahoji utajiri usioeleweka?Nchi masikini ndo ufikiria kuhoji utajiri wa mtu badala ya kuangalia mchango wake upi kwenye mzunguko
Utajiri usioeleweka ni upi huoNani alikwambia nchi zilizoendelea hawahoji utajiri usioeleweka?
Sasa kama umenunua kiwanja na hati unayo una makosa gani? Una maana wanatoa pesa zao kununua Ardhi halafu hawapewi hati kwa majina yao?Sio kweli! Kinachotafutwa na serikali ni kila mtu amiliki mali ambazo zinatambulika kwa jina lake na ziwe kwenye rocord ili kuepusha wenye hela za ujanja ujanja kukwepa mkono wa serikali...
Una mali nyingi au fedha nyingi lakini katika record zako serikali ilizo nazo haioni vyanzo vya utajiri wako.Utajiri usioeleweka ni upi huo
Serikali ya awamu ya 5 itakumbukwa kwa uhodari wake wa kufanya uhakiki usokwisha.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kuna wageni pia hasa toka nchi jirani,na wenyewe wanaenda kulizwa kwenye hiliHapa kuna watu watapata hasara ya hatari!
Wengi watapata tabu pia kwa sababu wana utajiri wa ardhi usio na maelezo ambapo itasababisha wahojiwe chanzo cha utajiri huo...
Sasa kama umenunua kiwanja na hati unayo una makosa gani? Una maana wanatoa pesa zao kununua Ardhi halafu hawapewi hati kwa majina yao?
Ndio. Unakuta hawajafuata sheria katika kumiliki ardhiKuna wageni pia hasa toka nchi jirani,na wenyewe wanaenda kulizwa kwenye hili