Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Weka namba yako hapa nitakupigia 😂
â€+257 7847550438
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka namba yako hapa nitakupigia 😂
Kuna akina nyirenda,maina,okello,binamungu n.k lazima kwa mpango huu ndio watajua kama hawajuiNdio. Unakuta hawajafuata sheria katika kumiliki ardhi
Unapokuwa na utajiri basi uwe na maelezo ya kuweza kuonesha namna ulivyoupata utajiri huo
Sasa kama una maelezo yote ya assets zako watakuandamaje?HAPA NI DHAHIRI KUWA KUNA WATU AMBAO CCM/SERIKALI INAWAANDAMA NA SASA WAMEBUNI NJIA YA KUTAKA KUZIFIKIA FEDHA ZAO na kuwathibiti hasa kisiasa!!!! POOR GOVERNANCE halafu mnapoteza hela za Wananchi kujidai kwenda kutafuta wawekezaji!!! NO BODY WILL BRING HIS CAPITAL KWENYE NCHI SERIKALI YAKE KIGEUGEU!
Wengine wananunua maeneo na kuandika majina ya ndugu zao
Hili ni swala lingine...Sasa hao unaowasema wananunua; je huyo Lukuvi anayechukua maeneo bure na kuandika majina ya familia yake? Itabidi muanze na wakina Lukuvi kwanza if you want to appear as non partisan!
Hili ni swala lingine...
Ni swala lingine kwasababu ulipaswa uwe umemfungulia kesi mhusika.Lingine kwa vipi ? Yote yanahusu kujipatia Ardhi kwa kukiuka sheria; wengine wamenunua na hao mafisadi serikalini wanachukua bure!!!
Serikali si itapata kodi kwenye hizo haramu.Mbona wao wanaficha kodi zetu benki za njeSio kweli! Kinachotafutwa na serikali ni kila mtu amiliki mali ambazo zinatambulika kwa jina lake na ziwe kwenye rocord ili kuepusha wenye hela za ujanja ujanja kukwepa mkono wa serikali.
Kumbuka wenye hela zisizo na vyanzo vya kueleweka wanapenda kuzificha kwa kununua majumba na viwanja... Fikiria umefanya dili haramu ghafla ukapata milioni 200, utazipeleka Bank kwa maelezo gani? Lazima ukimbilie kununua viwanja nk
Ni swala lingine kwasababu ulipaswa uwe umemfungulia kesi mhusika.
Kuna wakenya wengi wanamiliki ardhi kinyemela hasa wanawake wanazaa na wanaume wabongo ardhi wanaandika kwa majina ya watotoKuna wageni pia hasa toka nchi jirani,na wenyewe wanaenda kulizwa kwenye hili
Una ushahidi wa kauli yako?Serikali si itapata kodi kwenye hizo haramu.Mbona wao wanaficha kodi zetu benki za nje
Unatakiwa uwe msaada katika kulifanyia kazi!Anaefungua kesi sio nyinyi? Fanyeni uchunguzi halafu tuone hizo kesi mtakazowafungulia!
Kwani kodi ya majengo,viwanja, magari,nk nani anakusanya.Una ushahidi wa kauli yako?
Kwahiyo anayekusanya anazipeleka Bank za nje ya nchi kuzificha huko?Kwani kodi ya majengo,viwanja, magari,nk nani anakusanya.
Elezea hapa ni kiwanja gani na gani Lukuvi kajimilikisha ili hatua zichukuliwe
Sasa kama wewe unayejua Lukuvi kajimilikishia ardhi pasipo kufuata sheria hutaki kutoa ushirikiano kwa serikali inakuwaje unitake mimi nifanye uchunguzi?Ndio ujinga wenu,mnakimbia majukumu yenu kwa kutaka eti mimi nikuambie Lukuvi kajichukulia viwanja gani! Fanya uchunguzi wa dhati kwa kuwahusisha maofisa ardhi nchi nzima ukianzia na IRINGA,DAR,MWANZA,ARUSHA,DODOMA ikiwemo wilaya ya Kilosa. Pale Iringa kajenga nyumba ndani ya kiwanja kilichokuwa ndani ya eneo la Mkuu wa mkoa!!! Anzia hapo.