unitake mimi nifanye uchunguzi
Were ni boi wa Lukuvi huwezi kumchunguza , lakini serikali ina taasisi zake zinazoweza kufanya uchunguzi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unitake mimi nifanye uchunguzi
Na ikitokea akakisahau au kukiruka atakumbushwa kama chake au laa si eetiSasa hao unaowasema wananunua; je huyo Lukuvi anayechukua maeneo bure na kuandika majina ya familia yake? Itabidi muanze na wakina Lukuvi kwanza if you want to appear as non partisan!
Kumbe unaelewa.Were ni boi wa Lukuvi huwezi kumchunguza , lakini serikali ina taasisi zake zinazoweza kufanya uchunguzi!!
Ndio maana yake!Na ikitokea akakisahau au kukiruka atakumbushwa kama chake au laa si eeti
wanini unalalamika hapa badala ya kufikisha hizo taarifa ulizo nazo sehemu husika?
watakaoumia wengi ni wafanyakazi wa Ardhi ndio hujimilikisha viwanja lukuki kwa majina fekiSasa kama umenunua kiwanja na hati unayo una makosa gani? Una maana wanatoa pesa zao kununua Ardhi halafu hawapewi hati kwa majina yao?
Wenys passport za South Africa poleni
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametanza rasmi kuanzia July 01 2021, kuanza kwa zoezi la Kitaifa la uhakiki wa umiliki wote wa ardhi kwa kutumia kitambulisho cha NIDA kwa Nchi nzima.
“Tunataka Wamiliki wote hewa waliomilikishwa kimakosa, kiwizi, kiutapeli na kiujanja lazima tuwabaini lazima tujue kwa nini jina lako la kiwanja halifanani na majina ya hati yako ulipataje, tukiwabaini waliomilikishwa kimakosa viwanja vyao tutavipiga mnada ili Serikali ipate hela"