Viwanja vyote vilivyomilikishwa kimakosa kupigwa mnada ili Serikali ipate hela

Sasa hao unaowasema wananunua; je huyo Lukuvi anayechukua maeneo bure na kuandika majina ya familia yake? Itabidi muanze na wakina Lukuvi kwanza if you want to appear as non partisan!
Na ikitokea akakisahau au kukiruka atakumbushwa kama chake au laa si eeti
 
Were ni boi wa Lukuvi huwezi kumchunguza , lakini serikali ina taasisi zake zinazoweza kufanya uchunguzi!!
Kumbe unaelewa.
Kwanini unalalamika hapa badala ya kufikisha hizo taarifa ulizo nazo sehemu husika?

Acha uwaki!
 
Huyu Kasie anabuni namba halafu ananipa haki Kasie ww leo nimekushindwa kabisa

Jamaniiiii....!!😜😜😜

Unaniwoneyaaa ....πŸ˜†πŸ˜†

Hiyo namba ni ya bluu tuthii tuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wale wanaofanya kazi serikali za mitaa wanipe namba zao inbox. Nahitaji huvyo viwanja vitakavyouzwa na serikali
 
Hii ndio awamu inayoenda kuacha historia Tanzania.

Kule Toangoma ile mijumba iliyozuka kama uyoga awamu ya Jk yote inaenda kuwa vituo vya afya.
 
Sasa kama umenunua kiwanja na hati unayo una makosa gani? Una maana wanatoa pesa zao kununua Ardhi halafu hawapewi hati kwa majina yao?
watakaoumia wengi ni wafanyakazi wa Ardhi ndio hujimilikisha viwanja lukuki kwa majina feki
 

Wote wanoratibu hizi mambo hawana maisha marefu,muda si mrefu watanyakuliwa mawinguni.
Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…