KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,185 Reaction score 37,239 Sep 30, 2016 #81 Gwakukahja said: Hiyo waxing kwani ananyolewaa na mtu Click to expand... Ndio huwa wanafanyiwa na mtu.....
Gwakukahja said: Hiyo waxing kwani ananyolewaa na mtu Click to expand... Ndio huwa wanafanyiwa na mtu.....
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,803 Oct 19, 2016 #82 LadyRed said: Waxing ukishindwa bora unyoe na mkasi tu,viwembe sio vizuri vinaharibu ngozi yako, well maybe wapo vinaowakubali Click to expand... Napata wapi huduma ya waxing na ni sh ngapi. Nimeipenda bure. mambo ya kunyoanyoa kila wakato sitaki mie.
LadyRed said: Waxing ukishindwa bora unyoe na mkasi tu,viwembe sio vizuri vinaharibu ngozi yako, well maybe wapo vinaowakubali Click to expand... Napata wapi huduma ya waxing na ni sh ngapi. Nimeipenda bure. mambo ya kunyoanyoa kila wakato sitaki mie.
LadyRed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 9,636 Reaction score 11,483 Oct 20, 2016 #83 Remmy said: Napata wapi huduma ya waxing na ni sh ngapi. Nimeipenda bure. mambo ya kunyoanyoa kila wakato sitaki mie. Click to expand... Saloon za wahindi upanga,bei depends na wewe unataka wax wapi..kwa kuanzia beba atlst elf 30,
Remmy said: Napata wapi huduma ya waxing na ni sh ngapi. Nimeipenda bure. mambo ya kunyoanyoa kila wakato sitaki mie. Click to expand... Saloon za wahindi upanga,bei depends na wewe unataka wax wapi..kwa kuanzia beba atlst elf 30,
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,803 Oct 20, 2016 #84 LadyRed said: Saloon za wahindi upanga,bei depends na wewe unataka wax wapi..kwa kuanzia beba atlst elf 30, Click to expand... Thanks!1 Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
LadyRed said: Saloon za wahindi upanga,bei depends na wewe unataka wax wapi..kwa kuanzia beba atlst elf 30, Click to expand... Thanks!1 Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app