Viwembe au shaver nzuri za kunyoa nywele sehemu za siri

Viwembe au shaver nzuri za kunyoa nywele sehemu za siri

Waxing ukishindwa bora unyoe na mkasi tu,viwembe sio vizuri vinaharibu ngozi yako, well maybe wapo vinaowakubali
Napata wapi huduma ya waxing na ni sh ngapi.

Nimeipenda bure.

mambo ya kunyoanyoa kila wakato sitaki mie.
 
Napata wapi huduma ya waxing na ni sh ngapi.

Nimeipenda bure.

mambo ya kunyoanyoa kila wakato sitaki mie.
Saloon za wahindi upanga,bei depends na wewe unataka wax wapi..kwa kuanzia beba atlst elf 30,
 
Back
Top Bottom