Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara
Wakati machawa na ndugu wa Samia wakifurahia mauaji ya vijana wetu wafanyabiashara wa kimataifa hali sio nzuri maana hawawezi kwenda kuongea na wawekezaji au kampuni ubia za marekani na hii inasababisha uwekezaji kupungua.
Mfano kuna jamaa ambao ni dealer wa Microsoft sasa hawawezi kwenda kwenye mikutano, kampuni za coca cola na Boeing nazo ambazo HQ zipo USA wenye viwanda hawawezi kwenda, bado waubia tofauti sasa hawawezi kwenda.
Sababu moja wapo tofauti wa wenzetu wa Kenya ni siasa za kuiba, visasi, na ufisaji mkubwa wa Mama Samia ambaye anajali familia yake , marafiki zake na machawa wake pekee na sio nchi