View attachment 3319158
"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
"Nataka kufanya mambo kuwa wazi kabisa. Rais Ibrahim Traoré alinifata baada ya yeye mwenyewe kutathmini na kuchagua njia ya hatima kwa nchi yake. Mimi nilijiunga naye tu kama mshirika wa kibiashara na rafiki ili kumsaidia kutimiza ndoto zake.
Urusi haimnyonyi wala kuiba chochote kutoka Burkina Faso, yote ni Biashara ya Haki. Biashara kati ya Urusi na Burkina Faso ni rahisi: tunasubiri nchini kwetu, na Burkina Faso wanachimba madini yao, kuyachakata na kuyaagiza kwetu kwa masharti yao wenyewe. Kama tungekuwa tunawanyonya, tungekuwa na shughuli za uchimbaji za Warusi kule Burkina Faso, lakini hatuna kwa sababu Urusi inaamini katika Biashara ya Haki.
Nina kila kitu kinachohitajika kusambaza ushawishi wangu kote duniani kama Superpower, lakini Urusi haijawahi kutumia mabavu dhidi ya yeyote.
Marekani na Ufaransa wanampinga Bwana Ibrahim Traoré kwa sababu hawawezi tena kuiba rasilimali za Burkina Faso chini ya uongozi wake. Badala ya kuruhusu Burkina Faso kujichimbia madini yao na kuuza bidhaa zilizokamilika, wao wanataka kuchimba wenyewe na kuiba kutoka kwa watu wa Burkina Faso. Sasa, kwa sababu hawawezi tena kuiba, wanamchafua kwa kumuita mwizi ili wapate sababu ya kumuondoa, lakini hilo halitatokea.
Hivi ndivyo wanavyofanya kila mara nchi wanazozidhibiti zinapojinasua na kuanza kukua. Mimi namwona Ibrahim Traoré kama ndugu yangu na nitafanya kila liwezekanalo kumlinda. Marekani au taifa lolote jingine halina mamlaka juu yake. Yeye ni rais wa nchi huru ya Afrika na anastahili heshima."~Rais Vladimir Putin
kabisaHapa Putin ametukosha
Ndiyo hakuna.wapo tu wa kadi za chama Cha ccmhv jwtz hayupo traore hata mmoja?
ndio mana yake. intelligence ni muhim kwake yan hatakiw kusubir et coup itokee. anafata inapotokea. ku train na ku overhaul protocol za ulinz. iliwah kusemwa na sio siri cia mpaka leo wanakosa connection ya kujua putin anafanya nin sabab security protocol zake za ajabu kabisaMwamba kashasema we bisha sasa uone kitakachotokea
Unaweza kuta jamaa saivi analindwa na satellite za Russia kila Sehemu
Malipo ya huu msaada wa kiulinzi ni yapi?.View attachment 3319158
"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
"Nataka kufanya mambo kuwa wazi kabisa. Rais Ibrahim Traoré alinifata baada ya yeye mwenyewe kutathmini na kuchagua njia ya hatima kwa nchi yake. Mimi nilijiunga naye tu kama mshirika wa kibiashara na rafiki ili kumsaidia kutimiza ndoto zake.
Urusi haimnyonyi wala kuiba chochote kutoka Burkina Faso, yote ni Biashara ya Haki. Biashara kati ya Urusi na Burkina Faso ni rahisi: tunasubiri nchini kwetu, na Burkina Faso wanachimba madini yao, kuyachakata na kuyaagiza kwetu kwa masharti yao wenyewe. Kama tungekuwa tunawanyonya, tungekuwa na shughuli za uchimbaji za Warusi kule Burkina Faso, lakini hatuna kwa sababu Urusi inaamini katika Biashara ya Haki.
Nina kila kitu kinachohitajika kusambaza ushawishi wangu kote duniani kama Superpower, lakini Urusi haijawahi kutumia mabavu dhidi ya yeyote.
Marekani na Ufaransa wanampinga Bwana Ibrahim Traoré kwa sababu hawawezi tena kuiba rasilimali za Burkina Faso chini ya uongozi wake. Badala ya kuruhusu Burkina Faso kujichimbia madini yao na kuuza bidhaa zilizokamilika, wao wanataka kuchimba wenyewe na kuiba kutoka kwa watu wa Burkina Faso. Sasa, kwa sababu hawawezi tena kuiba, wanamchafua kwa kumuita mwizi ili wapate sababu ya kumuondoa, lakini hilo halitatokea.
Hivi ndivyo wanavyofanya kila mara nchi wanazozidhibiti zinapojinasua na kuanza kukua. Mimi namwona Ibrahim Traoré kama ndugu yangu na nitafanya kila liwezekanalo kumlinda. Marekani au taifa lolote jingine halina mamlaka juu yake. Yeye ni rais wa nchi huru ya Afrika na anastahili heshima."~Rais Vladimir Putin
hv jwtz hayupo traore hata mmoj
Atoke wapi! Kama kuingia tu huko lazima uwe na kadi ya chama, usitegemee kumpata kijana yeyote yule mwenye ujasiri kama wa Ibrahim Traore.hv jwtz hayupo traore hata mmoja?
Video au picha ya giyo platoonMisitu mipya nyani walewale. Hata Museveni alipoingia alikuwa admired na kila mmoja including the famous west. Time will always tell
Huyu Ibrahim Traore kuna force him. Kabadili tu anuani ya mkoloni, badala ya France imekuwa Russia
Unadhani anapanga yeye? Kwani ana vinu na soko la kuuza hiyo uranium??
Mzigo badala ya kwenda Paris sasa utakwenda Moscow, period.
Sasa kuingia na platoon mzima ya jeshi kwenye mkutano wa kumuapisha Rais wa Ghana unamuogopa nani?
Ukimuona kobe juu ya mti, ujue mwenye naye yuko jirani