Vladimir Putin aahidi kumlinda rais Ibrahim Traoré dhidi ya majangili wa Marekani na Ufaransa wanaodhulumu rasilimali za Afrika

Vladimir Putin aahidi kumlinda rais Ibrahim Traoré dhidi ya majangili wa Marekani na Ufaransa wanaodhulumu rasilimali za Afrika

ndio mana yake. intelligence ni muhim kwake yan hatakiw kusubir et coup itokee. anafata inapotokea. ku train na ku overhaul protocol za ulinz. iliwah kusemwa na sio siri cia mpaka leo wanakosa connection ya kujua putin anafanya nin sabab security protocol zake za ajabu kabisa
Putin ni mwamba haswaaa
 
Naiona vita nyingine ya wababe pale Burkina Faso, USA na France bila shaka wataanza kuwamwagia silaha wale wahuni wanaosumbua ili wapate nguvu.
 
Video au picha ya giyo platoon
Hii hapa:-
Screenshot_20250429_085258_Google.jpg


Au fungua hii youtube link:-


View: https://youtu.be/GOkrVetDiOo?si=5yoNipvzEsd5MCy6
 
  • Thanks
Reactions: Lax
View attachment 3319158

"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

"Nataka kufanya mambo kuwa wazi kabisa. Rais Ibrahim Traoré alinifata baada ya yeye mwenyewe kutathmini na kuchagua njia ya hatima kwa nchi yake. Mimi nilijiunga naye tu kama mshirika wa kibiashara na rafiki ili kumsaidia kutimiza ndoto zake.

Urusi haimnyonyi wala kuiba chochote kutoka Burkina Faso, yote ni Biashara ya Haki. Biashara kati ya Urusi na Burkina Faso ni rahisi: tunasubiri nchini kwetu, na Burkina Faso wanachimba madini yao, kuyachakata na kuyaagiza kwetu kwa masharti yao wenyewe. Kama tungekuwa tunawanyonya, tungekuwa na shughuli za uchimbaji za Warusi kule Burkina Faso, lakini hatuna kwa sababu Urusi inaamini katika Biashara ya Haki.

Nina kila kitu kinachohitajika kusambaza ushawishi wangu kote duniani kama Superpower, lakini Urusi haijawahi kutumia mabavu dhidi ya yeyote.

Marekani na Ufaransa wanampinga Bwana Ibrahim Traoré kwa sababu hawawezi tena kuiba rasilimali za Burkina Faso chini ya uongozi wake. Badala ya kuruhusu Burkina Faso kujichimbia madini yao na kuuza bidhaa zilizokamilika, wao wanataka kuchimba wenyewe na kuiba kutoka kwa watu wa Burkina Faso. Sasa, kwa sababu hawawezi tena kuiba, wanamchafua kwa kumuita mwizi ili wapate sababu ya kumuondoa, lakini hilo halitatokea.

Hivi ndivyo wanavyofanya kila mara nchi wanazozidhibiti zinapojinasua na kuanza kukua. Mimi namwona Ibrahim Traoré kama ndugu yangu na nitafanya kila liwezekanalo kumlinda. Marekani au taifa lolote jingine halina mamlaka juu yake. Yeye ni rais wa nchi huru ya Afrika na anastahili heshima."~Rais Vladimir Putin
Dunia itakua mahala pazuri kama China na Urusi ndio zitakua superpowers pekee
 
Misitu mipya nyani walewale. Hata Museveni alipoingia alikuwa admired na kila mmoja including the famous west. Time will always tell

Huyu Ibrahim Traore kuna force him. Kabadili tu anuani ya mkoloni, badala ya France imekuwa Russia

Unadhani anapanga yeye? Kwani ana vinu na soko la kuuza hiyo uranium??

Mzigo badala ya kwenda Paris sasa utakwenda Moscow, period.

Sasa kuingia na platoon mzima ya jeshi kwenye mkutano wa kumuapisha Rais wa Ghana unamuogopa nani?

Ukimuona kobe juu ya mti, ujue mwenye naye yuko jirani
Mbona nyie wafuasi na mashabiki wa bibi chura kiziwi huwa mnaumizwa sana kila mnaposkia jina Ibrahim Traore?

Kwamba huwa mnaona wivu sana hizo sifa kede kede anazopewa Traore kutoka kila angle ya dunia, mnatamani hizo sifa angekuwa anapewa chura kiziwi?

Cool down dude, huyo mama yenu hana sifa za kupewa credits na watu wenye akili timamu, huyo ataendelea kusifiwa na nyie machawa tu basi.
 
Mbona nyie wafuasi na mashabiki wa bibi chura kiziwi huwa mnaumizwa sana kila mnaposkia jina Ibrahim Traore?

Kwamba huwa mnaona wivu sana hizo sifa kede kede anazopewa Traore kutoka kila angle ya dunia, mnatamani hizo sifa angekuwa anapewa chura kiziwi?

Cool down dude, huyo mama yenu hana sifa za kupewa credits na watu wenye akili timamu, huyo ataendelea kusifiwa na nyie machawa tu basi.
Acha kuvuta bangi bila kuwa umeshiba. Hebu kwenye post yangu onyesha mahali kuna meno "mama"
 
Mwamba kashasema we bisha sasa uone kitakachotokea

Unaweza kuta jamaa saivi analindwa na satellite za Russia kila Sehemu
Ameshindwa kuwalinda majeneral wake wanauwawa kama kuku ndani ya Russian alishindwa kumuuwa rais wa Iran jifani yake ameshindwa kumlinda Bashar alishindwa Asad pumbavu kabisa


USSR
 
Back
Top Bottom