Russia ndiyo iliyomsaidia kuingia Madarakani kwa njia ya Mapinduzi ya kijeshi!
Kwa hiyo ina jukumu la kumlinda.
Kwa hiyo ina jukumu la kumlinda.
wale umbwa wanatembea na ilani ya mbogamboga watampata wapi shenzi kabisa walehv jwtz hayupo traore hata mmoja?
Nakurudisha f2Ameshindwa kuwalinda majeneral wake wanauwawa kama kuku ndani ya Russian alishindwa kumuuwa rais wa Iran jifani yake ameshindwa kumlinda Bashar alishindwa Asad pumbavu kabisa
USSR
Mkuu unawatukana walinda mipaka yetu?wale umbwa wanatembea na ilani ya mbogamboga watampata wapi shenzi kabisa wale
ndugu tunaomba jina na anuan yako kwa ajili ya msaada zaidi.watoa huduma wetu wanakujali.wale umbwa wanatembea na ilani ya mbogamboga watampata wapi shenzi kabisa wale
mimi mbeba boksi niko sweden na uraia nimeshaukana nchi gani akili ndogo inaongoza kubwa ukitaka mabadiliko unaambiwa mhaini, wananchi wamechokaaaaa grauates hoi kazi hamnandugu tunaomba jina na anuan yako kwa ajili ya msaada zaidi.watoa huduma wetu wanakujali.
Yupo mkuu wa majeshihv jwtz hayupo traore hata mmoja?
thubutuu,Yupo mkuu wa majeshi
Siyo rahisi kuwepo hilo ni jina la Afrika magharibi.hv jwtz hayupo traore hata mmoja?
Mkuu shule ulikuwa bakbencha eh?Siyo rahisi kuwepo hilo ni jina la Afrika magharibi.
Yahani kupitia Traore Raisi mdogo kutoka Bokinabe...ushawishi mkubwa Sana utaenea kwenye nchi kibao barani Afrika...na iyo move itakuwa ni ya kichomi Sana Kwa Marekani na Ufaransa.View attachment 3319158
"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
"Nataka kufanya mambo kuwa wazi kabisa. Rais Ibrahim Traoré alinifata baada ya yeye mwenyewe kutathmini na kuchagua njia ya hatima kwa nchi yake. Mimi nilijiunga naye tu kama mshirika wa kibiashara na rafiki ili kumsaidia kutimiza ndoto zake.
Urusi haimnyonyi wala kuiba chochote kutoka Burkina Faso, yote ni Biashara ya Haki. Biashara kati ya Urusi na Burkina Faso ni rahisi: tunasubiri nchini kwetu, na Burkina Faso wanachimba madini yao, kuyachakata na kuyaagiza kwetu kwa masharti yao wenyewe. Kama tungekuwa tunawanyonya, tungekuwa na shughuli za uchimbaji za Warusi kule Burkina Faso, lakini hatuna kwa sababu Urusi inaamini katika Biashara ya Haki.
Nina kila kitu kinachohitajika kusambaza ushawishi wangu kote duniani kama Superpower, lakini Urusi haijawahi kutumia mabavu dhidi ya yeyote.
Marekani na Ufaransa wanampinga Bwana Ibrahim Traoré kwa sababu hawawezi tena kuiba rasilimali za Burkina Faso chini ya uongozi wake. Badala ya kuruhusu Burkina Faso kujichimbia madini yao na kuuza bidhaa zilizokamilika, wao wanataka kuchimba wenyewe na kuiba kutoka kwa watu wa Burkina Faso. Sasa, kwa sababu hawawezi tena kuiba, wanamchafua kwa kumuita mwizi ili wapate sababu ya kumuondoa, lakini hilo halitatokea.
Hivi ndivyo wanavyofanya kila mara nchi wanazozidhibiti zinapojinasua na kuanza kukua. Mimi namwona Ibrahim Traoré kama ndugu yangu na nitafanya kila liwezekanalo kumlinda. Marekani au taifa lolote jingine halina mamlaka juu yake. Yeye ni rais wa nchi huru ya Afrika na anastahili heshima."~Rais Vladimir Putin
Nchi za Afrika zinaharibiwa na kufilisiwa na MarekaniYahani kupitia Traore Raisi mdogo kutoka Bokinabe...ushawishi mkubwa Sana utaenea kwenye nchi kibao barani Afrika...na iyo move itakuwa ni ya kichomi Sana Kwa Marekani na Ufaransa.
Huu ni uongo, si jana tu kawapa kampuni ya urusi mkataba wa kuchimba na kuchenjua dhahabu? Fake article propagandaKama tungekuwa tunawanyonya, tungekuwa na shughuli za uchimbaji za Warusi kule Burkina Faso, lakini hatuna
Magufuli kivipi? Hivi unajua ufisadi unaofanyika Burkina Faso? Maana kila sekta wamejazwa wanajeshi na hakuna mtu kuhoji wala kukagua, so wanaokula nchi ni wanajeshi kwa sasa na watu walio karibu na huyu Traore. He's No Sankara by any meansHuyu ni Magufuli wa Burkinafaso.
Kikubwa awe makini, wauaji ndio hao wali mzunguka
Hakuna siri, hata Urusi wananua mambo ya pentagon na hao Marekani wanajua mambo ya kremlin. Maana kila nchi ina double agent ndio maana taarifa za kiintelijensia ni rahisi kuzipata. Hata Putin alipotaka kushambulia Ukraine ilifahamika wiki 2 kabla. Sema tu huwezi mshambulia direct maana italeta vita kubwa sana.ndio mana yake. intelligence ni muhim kwake yan hatakiw kusubir et coup itokee. anafata inapotokea. ku train na ku overhaul protocol za ulinz. iliwah kusemwa na sio siri cia mpaka leo wanakosa connection ya kujua putin anafanya nin sabab security protocol zake za ajabu kabis