Vladimir Putin aahidi kumlinda rais Ibrahim Traoré dhidi ya majangili wa Marekani na Ufaransa wanaodhulumu rasilimali za Afrika

Putin ni mwamba haswaaa
 
Naiona vita nyingine ya wababe pale Burkina Faso, USA na France bila shaka wataanza kuwamwagia silaha wale wahuni wanaosumbua ili wapate nguvu.
 
Dunia itakua mahala pazuri kama China na Urusi ndio zitakua superpowers pekee
 
Mbona nyie wafuasi na mashabiki wa bibi chura kiziwi huwa mnaumizwa sana kila mnaposkia jina Ibrahim Traore?

Kwamba huwa mnaona wivu sana hizo sifa kede kede anazopewa Traore kutoka kila angle ya dunia, mnatamani hizo sifa angekuwa anapewa chura kiziwi?

Cool down dude, huyo mama yenu hana sifa za kupewa credits na watu wenye akili timamu, huyo ataendelea kusifiwa na nyie machawa tu basi.
 
Acha kuvuta bangi bila kuwa umeshiba. Hebu kwenye post yangu onyesha mahali kuna meno "mama"
 
Ile siyo pure ya Burkinafaso nusu ya Ivory coast.
Kumbe ni hamna kitu.
Mana ivory coast wenyewe ni machawa wa mabeberu had wanaruhusu ardhi yao itumike dhidi ya Traore
 
Mwamba kashasema we bisha sasa uone kitakachotokea

Unaweza kuta jamaa saivi analindwa na satellite za Russia kila Sehemu
Ameshindwa kuwalinda majeneral wake wanauwawa kama kuku ndani ya Russian alishindwa kumuuwa rais wa Iran jifani yake ameshindwa kumlinda Bashar alishindwa Asad pumbavu kabisa


USSR
 
Huyu Traore namkubali sana japo simkubali Putin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…