Vladimir Putin aahidi kumlinda rais Ibrahim Traoré dhidi ya majangili wa Marekani na Ufaransa wanaodhulumu rasilimali za Afrika

Ameshindwa kuwalinda majeneral wake wanauwawa kama kuku ndani ya Russian alishindwa kumuuwa rais wa Iran jifani yake ameshindwa kumlinda Bashar alishindwa Asad pumbavu kabisa


USSR
Nakurudisha f2
Always machine is not efficient 100%

Izo satellite zimeundwa na binadamu
Hlf unazungumzia ndani ya uwanja wa vita ss mtu akienda vitani ni moja kati ya mawili afe au aue

Kwani ukiwa jenerali unakua na mwili usiopitisha silaha?
 
Naiona vita nyingine ya wababe pale Burkina Faso, USA na France bila shaka wataanza kuwamwagia silaha wale wahuni wanaosumbua ili wapate nguvu.
Marekani ni wala dhuluma tangu zamani walipokuja na biashara ya utumwa
 
Yahani kupitia Traore Raisi mdogo kutoka Bokinabe...ushawishi mkubwa Sana utaenea kwenye nchi kibao barani Afrika...na iyo move itakuwa ni ya kichomi Sana Kwa Marekani na Ufaransa.
 
Yahani kupitia Traore Raisi mdogo kutoka Bokinabe...ushawishi mkubwa Sana utaenea kwenye nchi kibao barani Afrika...na iyo move itakuwa ni ya kichomi Sana Kwa Marekani na Ufaransa.
Nchi za Afrika zinaharibiwa na kufilisiwa na Marekani
 
Huyu ni Magufuli wa Burkinafaso.
Kikubwa awe makini, wauaji ndio hao wali mzunguka
 
Kama tungekuwa tunawanyonya, tungekuwa na shughuli za uchimbaji za Warusi kule Burkina Faso, lakini hatuna
Huu ni uongo, si jana tu kawapa kampuni ya urusi mkataba wa kuchimba na kuchenjua dhahabu? Fake article propaganda
 
Huyu ni Magufuli wa Burkinafaso.
Kikubwa awe makini, wauaji ndio hao wali mzunguka
Magufuli kivipi? Hivi unajua ufisadi unaofanyika Burkina Faso? Maana kila sekta wamejazwa wanajeshi na hakuna mtu kuhoji wala kukagua, so wanaokula nchi ni wanajeshi kwa sasa na watu walio karibu na huyu Traore. He's No Sankara by any means
 
Hakuna siri, hata Urusi wananua mambo ya pentagon na hao Marekani wanajua mambo ya kremlin. Maana kila nchi ina double agent ndio maana taarifa za kiintelijensia ni rahisi kuzipata. Hata Putin alipotaka kushambulia Ukraine ilifahamika wiki 2 kabla. Sema tu huwezi mshambulia direct maana italeta vita kubwa sana.
 
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake hakuna mission yeyeto ya hujuma inafanyika Africa bila mwafrika kuhusika.
Hata biashara ya utumwa aliyekuwa dalali ni mwafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…