Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Uvamizi wa Iraq na Libya yalikuwa maamuzi ya kijinga. Hata ndani ya Marekani yamechambuliwa na imedhihirika uongo mkubwa ulitumika kuhalalisha vita zile.Katika Karne hii ya 21 Marekani aliivamia Iraq bila sababu ya msingi.
Katika Karne hii ya 21 NATO ikiongozwa na mfaransa waliivamia Libya na kuacha magofu mpaka Leo.
Katika Karne hii ya 21 Marekani ameyavuruga Mataifa mengi ya Amerika ya kusini almanusra Venezuera iende na maji.
Hivi nani kichaa kati ya Marekani na Urusi
Labda suala liwe kutowajibishwa kwa wahusika. Kwa Marekani ni “systems failure”. Bunge lilishindwa kumdhibiti Rais. Urusi ni one man show.
Unaweza kuita wote: Marekani na Urusi vichaa kwa namna zao.