Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Unaijua jahannamu lakini?Jaribuni kurusha hata punje ya mchele kwenye mji wowote wa mwanachama Nato
Moto utakao washwa ni zaidi ya jehanamu mtakutana nao enyi waRussi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaijua jahannamu lakini?Jaribuni kurusha hata punje ya mchele kwenye mji wowote wa mwanachama Nato
Moto utakao washwa ni zaidi ya jehanamu mtakutana nao enyi waRussi
Tuseme wamarekani wa buza wamempeleka wapi🏃Putin haonekani hapa Kremlin siku ya tatu sasa
Tena Putin choko hasa ,Ukraine wananchi na jeshi lao wanapigania nchi yao, Urusi jeshi linampigania choko Putin sio wananchi wa Russia .Wananchi hawana mpango na hiyo vita
Unadhani Putin Ni Kama Yule Babu yenu msalimia kivuli?Hivi warusi walivyo mahiri wameshindwa kumuua huyu mwehu
Achana nae. Huyo ni mtoto mdogo mpumbavu anayelala na kula bure sebuleni kwa shemeji yake. Hajui hata kilo ya ngano inapatikanaje
Usishabikie Vita Kama Simba na Yanga. Kwa Sasa Vita vya Ukraine vimeleta balaa kubwa kwenye mafuta gesi na ngano.
Sasa kama wao wameamua kupigana sisi tufanyeje ?
Wenzako wanatafuta elimu wewe unaongeza ujingaWewe huwa unaniona kupitia wapi?
Bavicha mna ujinga mwingi sana
KaraiWenzako wanatafuta elimu wewe unaongeza ujinga
Tena ya kikhanithi tu.Mikwara mbuzi
Yeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away from the war that’s not going as planned.
The worst he can do, short of annihilating the world, is lobbing his remaining few hypersonic missiles at what he hopes will be worthwhile targets.
After that NATO will make mincemeat of his glorious Army within a week. I guess he knows about that.
The contents of your thread are irrelevant to the heading.Yeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away from the war that’s not going as planned.
The worst he can do, short of annihilating the world, is lobbing his remaining few hypersonic missiles at what he hopes will be worthwhile targets.
After that NATO will make mincemeat of his glorious Army within a week. I guess he knows about that.
Huyo jamaa Bulamba anasumbuliwa na utoto. Ukraine tu analia mchele umepanda bei shemeji yake hampikii wali kila siku, vipi sasa ikiwa ni Ulaya yote na Marekani si hata huo ugali atakula mlo mmoja kwa shemeji sembuse wali.🤣Du.unataka kunyukana Kidunia.hiyo ni hatar mnoooo
Kweli mkwara mbuzi huoMikwara mbuzi
🤣🤣🤣Mkuu relax..😁
Hizi comments za huku jf hazina impact yoyote kwenye huu mtanange.
Ni sawa na kelele za mbaazi wakati upepo unavuma...hivyo usiogope.
Humu pia ni ajira..Tafuta ajira na sio kushinda mitandaoni kila siku na kila uzi hukosekanigi
🤣🤣Putin haonekani hapa Kremlin siku ya tatu sasa
Ni kweli hata mimi naunga mkono vita kuu ya tatu..huwezi jua mnaweza mkafa wote kwenye vita nikabaki mimi na Familia yangu Tz nzima.Sababu anazo! Nia anayo! Uwezo anao
Naunga mkono uamuzi wa Kanali Putin kuanzisha vita ya 3 ya dunia.Ni kipindi sana hatuja nyukana kidunia.