permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Amehamia kwenye mahandaki kama panya road.Putin haonekani hapa Kremlin siku ya tatu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amehamia kwenye mahandaki kama panya road.Putin haonekani hapa Kremlin siku ya tatu sasa
Unavyouliza ni kama vile unaijua vizuri sana.Unaijua jahannamu lakini?
Kwamba zee puto nalo limefichwa kwa ashura wa russia😱😵🙄Siyo kuwa jamaa yule ana vimada kibao? Kutokuonekana Kremlin huenda yuko nyumba ndogo. Warusi wangekuwa wanaongea kiingereza sana, hata mimi ningeamia Urusi kwani kuweka vimada ni rahisi sana huko, ila sasa wanaoongea kiingereza ni wachache tu kwa vile wengi bado wanajivunia kiswahili chao kama sisi wabongo tunavyokataa lugha ya mabeberu.
Mikwala wanataka kufanya hawasemi...kidume Hitler alikuwa hatangazi utasikia kashafika balazani kwako....ajaribu ndo atajua kwanini bandeji za kufungia vidonda ni nyeupe na sio rangi nyingineYeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away from the war that’s not going as planned.
The worst he can do, short of annihilating the world, is lobbing his remaining few hypersonic missiles at what he hopes will be worthwhile targets.
After that NATO will make mincemeat of his glorious Army within a week. I guess he knows about that.
Kweli aisee kuna mijitu mizima hovyo kushabikia vita wkt watu wasio na hatia wanauwawa kwa wingi na uchumi unaharibika. Wao wanaona sawa na sinema au football gameUsishabikie Vita Kama Simba na Yanga. Kwa Sasa Vita vya Ukraine vimeleta balaa kubwa kwenye mafuta gesi na ngano.
Mwenyezi Mungu tuondolee duniani huyu mfuasi wa Sheitwani aitwaye PutinYeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away from the war that’s not going as planned.
The worst he can do, short of annihilating the world, is lobbing his remaining few hypersonic missiles at what he hopes will be worthwhile targets.
After that NATO will make mincemeat of his glorious Army within a week. I guess he knows about that.
Mkuu....shibe isikufanye usahau vita ni nini.... Maisha uliyonayo yanaweza kubadilika within a second.... UkashangaaSababu anazo! Nia anayo! Uwezo anao
Naunga mkono uamuzi wa Kanali Putin kuanzisha vita ya 3 ya dunia.Ni kipindi sana hatuja nyukana kidunia.
Nadhani atakuwa mtoto kabisa.Kweli aisee kuna mijitu mizima hovyo kushabikia vita wkt watu wasio na hatia wanauwawa kwa wingi na uchumi unaharibika. Wao wanaona sawa na sinema au football game
We mat*ko..... gesi na mafuta vinauzwa bei cheee urusi ndiyo maana india na china wananufaika kwa bei chee ....tatizo la gesi na mafuta hapa tz linatokana na chifu mavii sa100 kwanini asinunue mafuta urusi , kama akinunua mafuta urusi basi bei ya mafuta tz ingekuwa sh1600 tu kwa lita kutoka sh3000 na zaidi ya sasa , tumia akili siyo makalio kufikiriUsishabikie Vita Kama Simba na Yanga. Kwa Sasa Vita vya Ukraine vimeleta balaa kubwa kwenye mafuta gesi na ngano.
Lakini brother PEMBE!!Mkuu....shibe isikufanye usahau vita ni nini.... Maisha uliyonayo yanaweza kubadilika within a second.... Ukashangaa
Tuko naye Bagamoyo mlingotiniPutin haonekani hapa Kremlin siku ya tatu sasa
You look stupid, plus childish, kiddish, babish behaviourYeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away from the war that’s not going as planned.
The worst he can do, short of annihilating the world, is lobbing his remaining few hypersonic missiles at what he hopes will be worthwhile targets.
After that NATO will make mincemeat of his glorious Army within a week. I guess he knows about that.
The struggle is realMjini Kiev, Kumeanza kusambaa vipeperushi vyenye maandishi, "Zelensky ni msaliti wa Azov. Na atawasaliti na nyinyi pia."
Bila shaka Washirika wa Azov watamgeukia Zelensky muda si mrefu na ndyo utakuwa mwanzo wa mapinduzi makubwa nchini Ukraine. https://t.co/CLkhJgXlWy
Ha ha ha ha,dah.Asante sana kwa kutupatia burudani huku tukiingia mwezi wa nne wa Vita.Ulipaswa hii burudani pia uipeleke pale Kremlin kwa Putin maana hali yale kisaikolojia ni mbaya sana.1/2 mwanajeshi wa Marekani amewashauri ma mluki wanaotaka kwenda kupigana vita na Urusi upande wa majeshi ya ukrain,kusitisha mpango huo mara moja kwasababu malengo yao yatakwenda kinyume na matarajio yao.
Ameongoza kuwa Jeshi la Urusi ni moja ya jeshi lenye nguvu saana duniani.
Alisema Finland na Sweden wakipeleka ombi la kujiunga NATO atapiga nuclear kwenye kitovu cha Ulaya sasa maombi yamefanyika mchana kweupe hajafanya chochote, ukisikia neno Putini fahamu hivi:- a) mtu muongo b) mtu muoga c) mtu wa ndaro d) Asiyejali raia wake d) asiyejali wanajeshi wake na nchi yake nkYeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away from the war that’s not going as planned.
The worst he can do, short of annihilating the world, is lobbing his remaining few hypersonic missiles at what he hopes will be worthwhile targets.
After that NATO will make mincemeat of his glorious Army within a week. I guess he knows about that.
Yes, keep on guess!.Yeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away from the war that’s not going as planned.