Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Ndio ila tuombee yasizidi hapo maana tutayumba sana mkuu hasa sisi wavuja jasho.Lakini brother PEMBE!!
NI yeye mwenyewe PUTIN bila kushinikizwa kaamua kuanzisha migogoro, mizozo na mavita.Sisi tufanyaje mkuu???