Vladimir Putin today declared that Russia will 'conduct a lightning strike' against countries supporting Ukraine with 'means and tools'

Waafrika na hasa wabongo wengi akili zao zinatosha kuvukia barabara tu, sip kujadili mambo makubwa kama vita na maendeleo.
Usishabikie Vita Kama Simba na Yanga. Kwa Sasa Vita vya Ukraine vimeleta balaa kubwa kwenye mafuta gesi na ngano.
 

Si achomoe tu betri kieleweke?
 
The contents of your thread are irrelevant to the heading.
 
Du.unataka kunyukana Kidunia.hiyo ni hatar mnoooo
Huyo jamaa Bulamba anasumbuliwa na utoto. Ukraine tu analia mchele umepanda bei shemeji yake hampikii wali kila siku, vipi sasa ikiwa ni Ulaya yote na Marekani si hata huo ugali atakula mlo mmoja kwa shemeji sembuse wali.🤣
 
Any moment from now long range missile zina wasili Ukraine -a gift to Ukranians from the people of the USA. Putin must go, freedom will prevail.
 
Sababu anazo! Nia anayo! Uwezo anao

Naunga mkono uamuzi wa Kanali Putin kuanzisha vita ya 3 ya dunia.Ni kipindi sana hatuja nyukana kidunia.
Ni kweli hata mimi naunga mkono vita kuu ya tatu..huwezi jua mnaweza mkafa wote kwenye vita nikabaki mimi na Familia yangu Tz nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…