Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

CCM sio NEC...wao wanatoa form Kwa wanachama wao wenye sifa..ata USA wenyewe pamoja na madudu ya Trump..hakuna Republican yeyote aliyechukua form kugombea..same thing Kwa kipindi cha Obama's second term...wakifanya CCM inakua nongwa!!???
Republican waligombea watatu akiwemo trump...... amepita kwenye chaguzi za chama kwa 96%!


siku nyingine usiongee uongo
 
Mungu aliepushe hili, Ila mfano mgombea aliyeteuliwa akafariki kwa covid 19 punde wiki mbili baada ya kampeni kuanza je wataitisha mchakato wa fomu upya au.? Mm nashauri kungekuwepo hata na substitution ya mgombea. Maana tunaenda kipindi cha kampeni huku tukipambana na covid 19 hivyo Hatuwezi jua yajayo.
 
😂😂😂😂😂😂 Kwa sababu mnajua fika kwamba dikteta has nothing in his upstairs as compared to Membe. Atapigwa MWELEKA MKUBWA arudi chato akafuge sungura. 😜😜😜😜😜
Hivi ikitokea akapigwa chini mwanae Bashite atafanya kazi gani chini ya jua? Hemu assume Bashite ana bahasha ndani ina vyeti na CV na yule Jerry Murro na Sabaya.
 
Naleo sikilizeni DW mchana kutakuwa na mahojiano ya Membe.
 
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.

Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?

Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Watanzania wengi mnachukulia poa uozo mkubwa uliopo nchini kwa sababu mmesha potoshwa mpaka hamjui tena jema na baya tofauti yake ni nini.
 
Siku majeshi yakijitambua ndio utakuwa mwisho wa sisiemu
Wewe ndiyo unaona majeshi hayajitambui? Inaonekana umejaza ujinga kichwani. Unajua kazi ya majeshi ninini? Unakifahamu kiapo Cha wanajeshi wewe?Acha ujinga siyo kazi ya majeshi kuchagua wa kuwaongoza, Kama wananchi wamemchagua mtu kuwaongoza basi. Jeshi linahusikaje Sasa na kuiondoa sisiemu?
 
If truth be said Membe anapiga chini mwenyekiti mapema tuu.Ku prempt aibu lazima kumzui kuchukua fomu kwa gharama yeyeto ile.
 
Nadhani kelele ulizopiga wewe zimetosha ... what a stupid advice!!.. shame I am in a same platform with you.
Tulia wewe na english yako ya ugoko,yaani ushindwe kuona aibu kua kwny platform 1 na wakina Polepole,Bashiru ndio uje uniletee shobo mimi.
 
Mtoa mada unahisi kwanini Membe tu ndo atangazwe huko kati ya wote wenye nia na waliochukua form?
Kwanini TBC na vyombo vingine vya CCM vimtangaze Magufuli tu? Jibu la hili swali ndio jibu la swali ulilouliza
 
A former Tanzanian foreign minister is set to challenge president John Magufuli, for the ruling party's nomination for presidential candidate ahead of keenly awaited polls. Bernard Membe has asked the Central Committee of the governing Chama Cha Mapinduzi, CCM, party to allow him challenge the incumbent for the party's candidature. The CCM party has governed the country for more than four decades since independence.
Source : Africanews
Nani kakuambia ccm wanataka challenge?
 
Back
Top Bottom