Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Republican waligombea watatu akiwemo trump...... amepita kwenye chaguzi za chama kwa 96%!CCM sio NEC...wao wanatoa form Kwa wanachama wao wenye sifa..ata USA wenyewe pamoja na madudu ya Trump..hakuna Republican yeyote aliyechukua form kugombea..same thing Kwa kipindi cha Obama's second term...wakifanya CCM inakua nongwa!!???
Hivi ikitokea akapigwa chini mwanae Bashite atafanya kazi gani chini ya jua? Hemu assume Bashite ana bahasha ndani ina vyeti na CV na yule Jerry Murro na Sabaya.😂😂😂😂😂😂 Kwa sababu mnajua fika kwamba dikteta has nothing in his upstairs as compared to Membe. Atapigwa MWELEKA MKUBWA arudi chato akafuge sungura. 😜😜😜😜😜
Wapi uliona sumu inajaribiwa!!!?Ina maana CCM wanaogopa hata kuandaa mamluki azuge kama vile anashindana na JPM?
Wanaogopa hata mamluki anaweza kumshinda mzee kwenye mkutano mkuu![emoji24]
Really!? Unaweza nitajia majina ya aliogombea nao TafadhaliRepublican waligombea watatu akiwemo trump...... amepita kwenye chaguzi za chama kwa 96%!
siku nyingine usiongee uongo
mkuu uko internet then unauliza hili swali....? si uingie mtandaoniReally!? Unaweza nitajia majina ya aliogombea nao Tafadhali
Hv ww ni cdm kweli au ni mamluki!??Membe ni noma !
bill weld (former gov wa massachuttes) na joe walsh (illinois congressman)Really!? Unaweza nitajia majina ya aliogombea nao Tafadhali
Wewe unaonaje??Tunamsindikiza lini akachukue
Wewe unaonaje??
Watanzania wengi mnachukulia poa uozo mkubwa uliopo nchini kwa sababu mmesha potoshwa mpaka hamjui tena jema na baya tofauti yake ni nini.Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.
Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?
Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Wewe ndiyo unaona majeshi hayajitambui? Inaonekana umejaza ujinga kichwani. Unajua kazi ya majeshi ninini? Unakifahamu kiapo Cha wanajeshi wewe?Acha ujinga siyo kazi ya majeshi kuchagua wa kuwaongoza, Kama wananchi wamemchagua mtu kuwaongoza basi. Jeshi linahusikaje Sasa na kuiondoa sisiemu?Siku majeshi yakijitambua ndio utakuwa mwisho wa sisiemu
Tulia wewe na english yako ya ugoko,yaani ushindwe kuona aibu kua kwny platform 1 na wakina Polepole,Bashiru ndio uje uniletee shobo mimi.Nadhani kelele ulizopiga wewe zimetosha ... what a stupid advice!!.. shame I am in a same platform with you.
Kwanini TBC na vyombo vingine vya CCM vimtangaze Magufuli tu? Jibu la hili swali ndio jibu la swali uliloulizaMtoa mada unahisi kwanini Membe tu ndo atangazwe huko kati ya wote wenye nia na waliochukua form?
Nani kakuambia ccm wanataka challenge?A former Tanzanian foreign minister is set to challenge president John Magufuli, for the ruling party's nomination for presidential candidate ahead of keenly awaited polls. Bernard Membe has asked the Central Committee of the governing Chama Cha Mapinduzi, CCM, party to allow him challenge the incumbent for the party's candidature. The CCM party has governed the country for more than four decades since independence.
Source : Africanews