Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Moja ya taifa lililofurahia kwa kuvunjwa kwa sauti ya Marekani (VOA) ni China ambayo imesema redio hiyo kwa lugha zote kubwa duniani ilikuwa ni kiwanda cha hadhithi za uongo.
Katika hatua za hivi karibuni alizochukua raisi Trump ni kufukuza kazi wafanyakazi wote wa VOA na kuifanya taasisi hiyo kushindwa kuendelea na kazi iliyoasisiwa kwao ambayo ni kulitangaza taifa la Marekani kwa walimwengu
Sambamba na kuvunjwa kwa taassi hiyo ni kusitishwa kuendelea na kazi za idara za taasisi ya US AID ambazo zimeenea karibu kila nchi duniani.Alichogundua Trump ni matapeli kutumia idara hizo kukomba uchumi wa Marekani kwa miaka kadhaa.
Kwenye haya yote kuna mafunzo makubwa sana kwa binadamu na kwamba daima uongo hauwezi kuushinda ukweli