VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

Mimi nalia na Mwanzilishi wa Taifa hili.Aliliacha Taifa na katiba mbovu.Maamuzi makubwa ya nchi yanaamuliwa na Mtu mmoja .USA mkenya alipewa kuwa Rais(Obama) walijuwa kuna mifumo thabiti ya kulinda mali asili zao.
 

Unavunja mikataba kwa kuwaongezea kodi na kutoweka mazingira sio rafik ya ufanyaji kazi wao
 
Nasema watajiju
 
PHD kwa masuala ya anga kwa lipi hasa alilolifanya, hivi hizi phd ni za kuomba au ukionekana unapenda basi wanakuelekezea hukohuko ili utegeke kiahisi wapenyeze maslahi yao, nauliza zina impact gani kwa Taifa. hivi Nyerere angekuwa anazipenda angepata ngapi? vituvingine visivyo na tija visitushughulishe.
 
For sale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…