Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hata kama mikataba hii ina 10% mbona hiyo mihela ni mingi mno?
Ifike mahali tuseme hapana. Kazi ya TISS ni nini haswa?
Wanajitapeli...!Watanganyika tuamke tudai nchi yetu
Umefuatilia uboreshaji wa mitaala ya vyuo ulivyoendeshwa na masharti yaliyoongoza mchakato huo? FF anajua walichopanga...!!!Kama hatuwezi kukopa tuchimbe wenyewe na kila mwaka tunazalisha geologists basi taifa zima tuna akili za wendawazimu
Mafi kabisaNa yoyte hayo hi Tanganyika, kwao Zenji hapana.
Na mitanganyika imelala tu!
The way forward is to warn those would be investors kuwa haya yanafanyika bila ridhaa ya watanzania, kesho tutawafukuza maana wameletwa na swaiba wao na si watanzania
Najua mikataba ya kimataifa si rahisi kuivuja, but let the International community know this. Give them a warning , Wanaharakati/wanasheria wanaweza kuitaarifu dunia kuwa anachokifanya Samia hakina ridhaa ya watanganyika.
Hiyo ndiyo faida ya kuwa na maliasili, au ulitaka uchumi unao uukalie?
Nasema watajijuMbona ni suala la muda tu na tena hata sio muda mrefu kuanzia sasa tutaifikia debt limit kisha kitakachobaki itakuwa ni kulipa tu madeni...
Mbaya zaidi kwa wakati huo hata miradi yote ya kimaendeleo italazimika kuendeshwa na kodi zenu nyie nyie wanainchi maana hakuna tena kukopesheka na hapo hapo nyie ndio wa kulipa hayo madeni na wakati huo inflation inazidi kupaa tu... manina hapo lazima mama yenu akawauze hata kwa waarabu huko apate hela ya kupunguza madeni
Umeanza uhuni.Hiyo ndiyo faida ya kuwa na maliasili, au ulitaka uchumi unao uukalie?
Maneno ya Nyerere hayo, siyo yangu.Umeanza uhuni.
Uchumi gani ameukalia?
your wishes, but the constitution does not recognise that!Zenj kuna rais, huyu ni wa Tanganyika, hata waliosaini ni wa Tanganyika,
exactly! There is a way out!Unavunja mikataba kwa kuwaongezea kodi na kutoweka mazingira sio rafik ya ufanyaji kazi wao
For sale.Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya kuchimba madini muhimu katika nchi za Afrika.
Korea Kusini imeandaa kongamano na viongozi 30 wa nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania na Ethiopia.
Kongamano linafanyika wiki hii
Tanzaia imesema kwamba itakopa dola bilioni 2.5 kutoka kwa Korea Kusini katika muda wa miaka mitano ijayo. Mkopo huo utalipwa katika muda wa miaka 5.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan vile vile amesaini mkataba utakaoiruhusu Korea Kusini kutumia bahari yake na madini yanayotumika katika teknolojia ya nishati safi kama Nickel, Lithium na Graphite.
Ethiopia nayo imesaini mkopo wa dola bilioni 1 utakaolipwa katika kipindi cha miaka minne kwa ajili ya ujenzi wa miundo mbinu, sayansi na teknolojia, afya na maendeleo ya mijini.
PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51
- Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini
Voice of America
Kazi ya TISS ni kuilinda ccm.Jamani hata kama mikataba hii ina 10% mbona hiyo mihela ni mingi mno?
Ifike mahali tuseme hapana. Kazi ya TISS ni nini haswa?