VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

The bottom line ya hii corrupt government ya ccm ni watanzania wenyewe kuidai katiba mpya kwa gharama yoyote ile, otherwise tusitarajie any better than worse. Jirani zetu Kenya pamoja na challenges zao kama inchi, bado wametuzidi kiuchumi kwenye aspects nyingi tu.
 
Tunakuja kutesa vizazi kulipa madeni ambayo yangeepukika,

punguza matumizi ya Serikali, punguza ukubwa wa Serikali na mavyeo yasiyonamaana, punguza mishahara ya wabunge na posho, ondoa safari zisizo na tija za watumishi, Bana kabisa na komesha wizi na rushwa, JIFANYIE ASSESMENT KWA MWAKA UONE KAMA HUJAPATA 1 trilioni.
 
Kanchi kamoja kadogo kanaita nchi 30 then kinagawa mikopo ya mabillioni ya dollars. Africa tunafeli pakubwa Sana.

Ss ni matajiri
Mwaka 1884 waliitana wao huko Berlin na kugawana Bara la Afrika. Kwa sasa wanawaalika viongozi wetu huko kwao na kutoa mikopo na misaada lukuki. Wazee wetu walipokutanika huko Arusha mwaka 1967, waliliona hili kuwa linahatarisha Uhuru wetu. RIP, the Arusha Declaration,
 
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.

Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya kuchimba madini muhimu katika nchi za Afrika.

Korea Kusini imeandaa kongamano na viongozi 30 wa nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania na Ethiopia.

Kongamano linafanyika wiki hii

Tanzaia imesema kwamba itakopa dola bilioni 2.5 kutoka kwa Korea Kusini katika muda wa miaka mitano ijayo. Mkopo huo utalipwa katika muda wa miaka 5.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan vile vile amesaini mkataba utakaoiruhusu Korea Kusini kutumia bahari yake na madini yanayotumika katika teknolojia ya nishati safi kama Nickel, Lithium na Graphite.

Ethiopia nayo imesaini mkopo wa dola bilioni 1 utakaolipwa katika kipindi cha miaka minne kwa ajili ya ujenzi wa miundo mbinu, sayansi na teknolojia, afya na maendeleo ya mijini.

PIA SOMA
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51

Voice of America


Tulivyo wajinga tutaenda kununua gari mmoja kwa 500M wakati tunakopa wakati 150 inapata gari nzuri tu.
 
The way forward is to warn those would be investors kuwa haya yanafanyika bila ridhaa ya watanzania, kesho tutawafukuza maana wameletwa na swaiba wao na si watanzania
Mikataba ya nchi sio rahisi kuivunja kihivyo hasa ikiwa sio taifa lenye nguvu kubwa, mnaweza kugeuzwa mfano wa Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom